Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAJAWAZITO WAKIJIFUNGUA KATIKA MAZINGIRA SALAMA VIFO VYAO VITAPUNGUA - SALMA KIKWETE

 Ili kuhakikisha vifo vya kina mama wajawazito vinapungua ni lazima wajifungue katika mazingira salama huku kukiwa na upatikanaji wa kutosha wa vifaa tiba.
Hayo yamesemwa jana na Mke wa Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Mama Salma Kikwete wakati akiongea na viongozi wa Bohari ya Dawa (MSD) iliyopo Keko Jijini Dar es Salaam.
Mama Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) alitembelea makao makuu ya MSD kwa ajili ya kuangalia vifaa tiba ikiwa ni pamoja na vifaa vya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AWASILI KIGOMA AKIWA MGENI RASMI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA UCHANGIAJI DAMU SALAMA KITAIFA.

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa Mtoto Mosi Kimosa ,7, anayesoma darasa la pili katika shule ya msingi Msimba iliyoko Kigoma Vijijini na Trisa Luziga,6, anayesoma darasa la kwanza mara baada ya Mama Salma kutua katika uwanja wa ndege wa Kigoma  Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mheshimiwa Issa Machibya akimpokea rasmi Mke wa Rais Mama Salma Kikwete mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma Mama Salma yuko mkoani humo kuhudhuria maadhimisho ya siku ya uchangiaji...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AKABIDHI SAMPULI ZA MADAWATI KATIKA SHULE ZA MSINGI KWA MADARASA YA AWALI KATIKA MANISPAA YA LINDI MJINI

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Afisaelimu wa Mkoa wa Lindi Ndugu Gift Kyando mara baada ya kuwasili kwenye viwanja wa Shule ya Msingi Rahaleo iliyoko Manispaa ya Lindi Mjini kwa ajili ya kukabidhi sampuli za madawati aliyoyatoa kupitia taasisi yake kwenye Shule za Msingi kwa ajili ya madarasa ya awali katika Manispaa ya Lindi Mjini tarehe 15.12.2014.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na binti Naida Seleman...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMA SALMA KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA WAMA NACHINGWEA

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwaonyesha waalikwa zawadi mbalimbali alizopewa ikiwemo chungu na mwiko, wakati wa sherehe za kutimiza mwaka mmoja za vikundi vya WAMA kwenye mradi wa mwanamke mwezeshe tarehe 18.3.2015. Sherehe hizo zilifanyika katika ukumbi wa Chuo cha Elimu Nachingwea, mkoani LindiMama Kikwete akipungia wanavikundi wakati akiwasili kwenye sherehe hizoMke wa Rais Mama Salma Kikwete akimsalimia mwanafunzi wa Shule ya Msingi ya Mnacho iliyoko wilayani Ruangwa. Mama Salma...

 

10 years ago

Mwananchi

Vifo vya wajawazito vyaweza kuzuilika

Takwimu za hivi karibuni hapa nchini zinaonyesha kwamba kwa mwaka, Tanzania inapoteza kina mama 7,900 kutokana na sababu zitokanazo na ujauzito. Idadi hiyo ni sawa na vifo 22 kwa siku.

 

10 years ago

Habarileo

Zanzibar kupunguza vifo vya wajawazito

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed SheinRAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema suala la kuimarisha maisha ya jamii na kupunguza idadi ya vifo vya wajawazito na watoto wachanga ni miongoni mwa masuala muhimu.

 

10 years ago

Habarileo

‘Vifo vya wajawazito ni msiba usiokubalika’

MWENYEKITI wa Bodi wa Muungano wa Utepe Mweupe na Uzazi Salama Tanzania (WRATZ), Craig Ferla amesema vifo 95,000 vya wajawazito na watoto wachanga, vinavyotokea kila mwaka nchini ni msiba mkubwa usiokubalika, ambao taifa linahitaji kutafakari kwa kina kuvitokomeza.

 

10 years ago

Habarileo

Sababu vifo vya wajawazito zatajwa

UKOSEFU wa nyumba za watumishi katika Sekta ya Afya hasa maeneo yenye miundombinu duni ya usafiri kunakofanya watumishi kushindwa kukaa katika maeneo hayo, kumetajwa kuwa ni moja ya mambo yanayochangia kuongeza vifo vya wajawazito na watoto.

 

9 years ago

Michuzi

Mama Salma Kikwete aunguruma katika kampeni za ubunge chalinze

Mama Salma Kikwete amesema kuwa vyama vya upinzani havina uwezo wa kutatua changamoto za maendeleo kwani havina ilani za uchaguzi ambazo ni mkataba baina ya wananchi na viongozi . Aliyasema hayo kwenye kata ya Pera Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni wa kumnadi mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ridhiwani Kikwete na diwani wa kata hiyo Lekapo Laini. Mama Salma alisema kuwa ilani ndiyo mkataba baina ya viongozi na wananchi juu ya...

 

11 years ago

Habarileo

Watakaowasaidia wajawazito kujifungua salama kuzawadiwa

HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilala, imetangaza donge nono kwa kuwazawadia fedha za motisha watoa huduma kwenye zahanati za Manispaa hiyo watakaowasaidia wajawazito kujifungua salama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani