Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watakaowasaidia wajawazito kujifungua salama kuzawadiwa

HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilala, imetangaza donge nono kwa kuwazawadia fedha za motisha watoa huduma kwenye zahanati za Manispaa hiyo watakaowasaidia wajawazito kujifungua salama.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

VIFO VYA WAJAWAZITO KIPINDI CHA KUJIFUNGUA VYAPUNGUA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA TEMEKE



 Waziri Ummy Mwalimu akiwajulia hali akina mama wajawazito waliolazwa kwenye wodi ya wazazi ambapo vifo vitokanavyo na uzazi hosputalini hapo vimepungua.Waziri wa Afya, Maendeleo, Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akikagua miundombinu ya hospitali ya rufaa ya mkoa Temeke ,Waziri Ummy amempongeza Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo.Dkt....

 

9 years ago

Mwananchi

Pombe siyo salama kwa wajawazito

Moja ya vinywaji vinavyopendwa na watu wengi nchini ni pombe. haihitaji kufanya utafiti bali tu macho yako kuthibitisha hili.

 

10 years ago

Michuzi

WAJAWAZITO WAKIJIFUNGUA KATIKA MAZINGIRA SALAMA VIFO VYAO VITAPUNGUA - SALMA KIKWETE

 Ili kuhakikisha vifo vya kina mama wajawazito vinapungua ni lazima wajifungue katika mazingira salama huku kukiwa na upatikanaji wa kutosha wa vifaa tiba.
Hayo yamesemwa jana na Mke wa Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Mama Salma Kikwete wakati akiongea na viongozi wa Bohari ya Dawa (MSD) iliyopo Keko Jijini Dar es Salaam.
Mama Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) alitembelea makao makuu ya MSD kwa ajili ya kuangalia vifaa tiba ikiwa ni pamoja na vifaa vya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Atakayekamata CD ‘feki’ kuzawadiwa

KAMPUNI ya Hamadombe Distributor inayomiliki kundi la sanaa la Hamadombe, imetangaza kutoa dau nono kwa yeyote atakayemkamata mtengenezaji ama muuzaji wa CD bandia za filamu ya ‘Yote ni Baba’ iliyo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watakaowakamata magaidi kuzawadiwa Saudia

Utawala wa Saudia umetoa tangazo kwamba utatoa dola milioni mbili za Marekani kama zawadi

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wateja Fastjet waendelea kuzawadiwa

SHIRIKA la Ndege ya Fastjet limeendelea kuwazawadia wateja wake zawadi ya tiketi kwa ajili ya watu wawili na kulala katika hoteli yenye mandhari nzuri iliyoko katika ufukwe wa Bahari ya...

 

10 years ago

GPL

MWANA DAR LIVE ATAKAYEFUNIKA CHEKECHA CHEKETUA KUZAWADIWA

Andrew Carlos/Risasi
IKIWA imebaki wiki na siku kadhaa kufika Aprili 5, mwaka huu (Sikukuu ya Pasaka) ambapo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, jijini Dar kutakuwa na bonge moja la shoo kutoka kwa Ali Kiba ‘Mwana Dar Live’ kizuri ni kwamba atakayefunika kwa kucheza Wimbo wa Chekecha Cheketua kuzawadiwa. Ali kiba. Akizungumza na Mikito Nusunusu, mratibu wa burudani katika ukumbi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Washindi 100 kuzawadiwa Samsung Gear S, kifaa pacha cha Galaxy Note 4 mpya

samsung-galaxy-note-4.

 Kampuni ya vifaa vya kieletroniki ya Samsung imezindua kampeni ya kuweka oda kwa bidhaa yake mpya ya Galaxy Note 4 nchini Tanzania, ikiwa ni sehemu ya kushamirisha uzinduzi mkubwa utakofuatia wa bidhaa inayosubiriwa kwa shauku ya Samsung Galaxy Note 4.  Kampeni hiyo itakayoendeshwa kuanzia tarehe 31 Oktoba hadi 14 Novemba 2014, inadhamiria kuwapa wateja wake wa kudumu nafasi ya kujipatia bidhaa hiyo ya kisasa zaidi katika familia ya simu za kiganjani za Note.  Hali kadhalika kampeni...

 

10 years ago

GPL

LULU AHIFADHI NGUVU ZA KUJIFUNGUA

Stori: Hamida Hassan na Gabriel Ng’osha MASTAA wana mambo! Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametoa kali ya aina yake kwa kusema kamwe hatumii nguvu nyingi kwenye mapenzi kwa sababu yanapoteza muda bila sababu za msingi bora nguvu zake azitunze hadi pale atakapokuwa akijifungua. Mtoto mzuri wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akipozi. Akimwaga cheche mbele ya mwanahabari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani