Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAJUE MADREVA WETU BONGO

Tanzania kuna magari mengi sana, hayo unayoyaona wewe barabarani ni sehemu ndogo tu ya yote. Sasa kila gari ukiliona linatembea barabarani ujue lina dereva. Utafiti niliofanya unaonyesha kuwa unaweza kufahamu asili ya dreva au siri ya dreva kutokana na uendeshaji wa gari lake. Madereva wako katika makundi mengi, wako wanaoendesha magari yao na wako wanaoendesha magari si yao, aidha ya ndugu au marafiki au wameajiriwa, ukifuatilia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MGOMO WA MADREVA WA MABASI KAHAMA

Hali ilivyokuwa katika mgomo huo abiria wakiwa wamejaa stand ya mabasi Kahama bila kujua hatma yao Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani Wilayani Kahama mkoani Shinyanga limefanikiwa kuzuia mgomo wa madereva wa mabasi yaendayo mikoani ambao wanapinga kutozwa faini isiyo halali na kufanyiwa udhalilishaji na baadhi ya Askari wa kitengo hicho.

Mabasi yanayosafirisha Abiria Kutoka kahama kwenda mikoani leo yamegoma kusafirisha abiria wakishinikiza serikiali kuingilia kati suala la...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Bemz tz – Acha Wajue

Bemz Tz

Msanii Mpya anaitwa Bemz tz ameachia wimbo unaitwa “Acha Wajue”, Studio Free Nation, Producer T touch.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

GPL

WAJUE WATU 10 WENYE NGUVU TANZANIA

KWA muda wa miezi miwili , magazeti ya Global Publishers Ltd yaliendesha zoezi la kuwashirikisha wasomaji wake juu ya mtu gani mwenye nguvu zaidi ya ushawishi katika jamii ya Watanzania. Rais Jakaya Kikwete. Jumla ya Watanzania 438,726 walipiga kura kupendekeza majina mbalimbali. Watu 10 waling’ara zaidi kwa kugawana jumla ya kura asilimia 97.4, huku wengine ambao hawakuweza kuchomoza wakiambulia mgawo wa asilimia 2.6.
...

 

11 years ago

Mwananchi

Tunataka wapate maarifa au wajue Kiingereza?

Tafiti zote duniani zinasema wazi kuwa binadamu yeyote anajifunza na kuelewa kikamilifu anapofundishwa kwa lugha anayoijua zaidi. Na uwezo wa kujenga utambuzi na kukuza vipawa umo ndani ya mila na desturi asilia zinazofungamana moja kwa moja na lugha mama inayomiliki maarifa na michepuo ya akili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani