Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wajumbe wa NEC wa CCM Dodoma waonywa

MWENYEKITI CCM, Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewataka wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) ya mkoa huo kuacha kujitwisha misalaba ya wagombea urais huku wakiwa hawajui hatma ya maeneo yao wakati nchi ikielekea kwenye Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wana-CCM Dodoma waonya wajumbe

Chama cha Mapinduzi, Kata ya Chang’ombe katika Manispaa ya Dodoma kimeonya kuwa Katiba mpya isipotoa matumaini ya wananchi kupimiwa ardhi, hawataitambua na hawatakuwa tayari kupiga kura ya kuchagua kiongozi yeyote katika maeneo yao.

 

10 years ago

Habarileo

NEC CCM kukutana Dodoma wiki hii

SIKU chache baada ya kumalizika kwa Bunge Maalumu la Katiba, macho na masikio ya wakazi wa mkoani hapa yanatarajiwa kuhamia katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) itakayofanya vikao vyake mjini hapa mwishoni mwa wiki.

 

10 years ago

Vijimambo

Akamatwa na Mamilioni Akitaka kuwahonga Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Dodoma


Mtu mmoja amekamatwa mkoani dodoma na maburungutu ya fedha hotelini, inasemekana alikuwa na lengo la kuwahonga wajumbe wampitishe mmoja wa gombea uteuzi..nani kamtuma?

 

10 years ago

Mwananchi

KAMPENI URAIS CCM: Noti zamwagwa Nec Dodoma

Baadhi ya makada wa wa CCM wanaotajwa kuwania urais kupitia chama hicho wanadaiwa kugeuza mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (Nec), kuwa sehemu ya kampeni kwa wajumbe wa mkutano huo wakidaiwa kumwaga fedha usiku kucha.

 

11 years ago

GPL

KIKAO CHA NEC CCM MJINI DODOMA JANA

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili ukumbini kuendesha Kikao Maalum Cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, mjini Dodoma jana, Feb 16, 2014.  Wajumbe wa NEC, na Kamati Kuu ya…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wajumbe Bunge la Katiba waonywa

MASHIRIKA na asasi zisizokuwa za kiserikali kutoka mikoa ya Mwanza na Geita, wamewaonya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kuhakikisha wanajadili na kupitisha Katiba nzuri inayotakiwa na wananchi ili kuepusha...

 

11 years ago

Habarileo

Wajumbe Bunge Maalum watukana, waonywa

WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba wameonywa kuacha lugha za matusi, kejeli na dharau kwa waasisi wa Muungano, hayati Mwalimu Julius Nyerere na Abeid Amaan Karume na pia kati yao wenyewe kwani kufanya hivyo ni kulidhalilisha Taifa.

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA NEC-CCM MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiingia ukumbini kuendesha Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, mjini Dodoma jana. kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na viongozi wa ngazi ya juu wa Chama baada ya kuwasili ukumbini. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani