Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMPENI URAIS CCM: Noti zamwagwa Nec Dodoma

Baadhi ya makada wa wa CCM wanaotajwa kuwania urais kupitia chama hicho wanadaiwa kugeuza mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (Nec), kuwa sehemu ya kampeni kwa wajumbe wa mkutano huo wakidaiwa kumwaga fedha usiku kucha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wajumbe wa NEC wa CCM Dodoma waonywa

MWENYEKITI CCM, Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewataka wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) ya mkoa huo kuacha kujitwisha misalaba ya wagombea urais huku wakiwa hawajui hatma ya maeneo yao wakati nchi ikielekea kwenye Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu.

 

10 years ago

Vijimambo

Urais 2015:Rushwa yajikita Nec CCM

  Takukuru yazungumza, yaahidi kufuatilia
  Nape asema inachangia kukichafua chamaRushwa iliyokithiri inadaiwa kutolewa kwa baadhi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaoshiriki kikao kilichomalizika jana, mjini Dodoma.

Vitendo hivyo vinadaiwa kuanza mwanzoni mwa wiki hii, vikiwahusisha pia baadhi ya Makatibu wa CCM waliokutana mjini hapa kutoka mikoa yote nchini.

Rushwa hiyo inadaiwa kufanywa na waratibu wa baadhi ya mitandao ya wanaotajwa kutaka kuwania...

 

10 years ago

Habarileo

NEC CCM kukutana Dodoma wiki hii

SIKU chache baada ya kumalizika kwa Bunge Maalumu la Katiba, macho na masikio ya wakazi wa mkoani hapa yanatarajiwa kuhamia katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) itakayofanya vikao vyake mjini hapa mwishoni mwa wiki.

 

11 years ago

GPL

KIKAO CHA NEC CCM MJINI DODOMA JANA

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili ukumbini kuendesha Kikao Maalum Cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, mjini Dodoma jana, Feb 16, 2014.  Wajumbe wa NEC, na Kamati Kuu ya…

 

5 years ago

CCM Blog

KATIBU WA NEC WA CCM, PEREIRA AME SILIMA AJITOSA URAIS ZANZIBAR


KATIBU wa NEC, Idara ya Oganaizesheni ya CCM Taifa, Pereira Ame Silima,Amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ametimiza idadi ya wagombea 27


 

10 years ago

Mtanzania

Kampeni chafu urais CCM zapamba moto

KinanaJOTO la uchaguzi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), linazidi kupamba moto, huku uongozi wa juu wa chama hicho ukihaha kuwazima makada wanaodaiwa kuanza kampeni kabla ya muda.
Kutokana na hali hiyo, CCM imewataka wapambe na wagombea wao kuacha kutoa taarifa za uzushi dhidi ya makada sita wa chama hicho kwa lengo la kupotosha umma.
Akizungumza na waandishi wa habari jana visiwani Zanzibar, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Nape Nnauye, alisema chama hicho kitawachukulia hatua kali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani