Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi Mbopo wagoma kupimiwa maeneo

WAKAZI wa Mbopo na maeneo jirani wametangaza mgogoro na Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam wa kugoma kupimwa maeneo yao huku wakitishia kwenda mahakamani endapo manispaa hiyo italazimisha utekelezaji huo....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Wakazi kata ya Kurasini Dar wagoma kuhama Kupisha mradi wa maegesho

Wakazi wa kata ya Kurasini Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam wamegoma kuhama katika makazi yao kupisha mradi wa ujenzi wa maegesho ya magari makubwa.

Manispaa ya Temeke imetoa amri ya kuwataka wakazi wa maeneo hayo kuhama ndani ya muda wa saa 12 kuanzia Novemba 13, vinginevyo nyumba zao zitavunjwa.

wakazi wa Kurasini jijini Dar es Salaam, wamepaza kilio chao kupinga amri ya Manispaa ya Temeke kuwataka kuhama eneo hilo kupisha ujenzi wa maegesho ya magari makubwa.

Wakizungumza na Star...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ubadhirifu wa fedha na rasilimali wapungua vijijini kwa viongozi kuhofia kuchukuliwa hatua na wakazi wa maeneo hayo

warag

Waraghbishi toka vijiji vya Iponya, Nyakasumula, Bukandwe na Shenda wakiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti na mtendaji wa kijiji cha Shenda.

Ni miaka mitatu na miezi nane toka mraghbishi Fedson Yaida na wenzake toka vijiji vya jirani kukutana na Chukua Hatua. Ni rafiki waliyekutana naye mwaka 2011 katika mazungumzo maalumu ambayo walitakiwa kuyafikisha kwa wananchi wenzao wa vijiji vya Shenda, Iponya, Nyakasumula na Bukandwe katika wilaya ya Mbogwe mkoani Geita. 

Ni katika mazungumzo...

 

10 years ago

Vijimambo

MAMA KIKWETE AWATAKA WAKAZI WA WILAYA YA LINDI KUTOKUBALI KUUZA MAENEO YA UFUKWE WA BAHARI KWA BEI YA CHINI

Na Anna Nkinda – Maelezo, LindiMjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete amewataka wakazi wa wilaya hiyo kutokubali kuuza maeneo ya ufukwe wa Bahari ya Hindi kwa kiasi kidogo cha fedha kwani thamani ya maeneo hayo ni kubwa.Mama Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alitoa rai hiyo jana wakati akiongea kwa nyakati tofauti na viongozi wa Halmashauri kuu ya tawi ya Chama hicho katika matawi ya Raha...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE AWATAKA WAKAZI WA WILAYA YA LINDI KUTOKUBALI KUUZA MAENEO YA UFUKWE WA BAHARI KWA BEI YA CHINIYA

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi.
10/2/2015 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete amewataka wakazi wa wilaya hiyo kutokubali kuuza maeneo ya ufukwe wa Bahari  ya Hindi kwa kiasi kidogo cha fedha  kwani thamani ya maeneo hayo ni kubwa.
Mama Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alitoa rai hiyo jana wakati akiongea  kwa nyakati tofauti  na viongozi wa Halmashauri kuu ya tawi ya Chama hicho  katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanavijiji Ruangwa wadai kupimiwa ardhi

Wakazi wa Kijiji cha Mipingo Changombe Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi wameiomba Halmshahauri ya Wilaya ya Ruangwa kupima na kutoa hati ya umiliki ardhi kwa wananchi zaidi 1,200, wanaoishi katika eneo linalodaiwa kuwa ni chanzo cha maji.

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA SHINYANGA WAKUNWA NA UJIO WA TAMASHA LA FIESTA,LEO KUSAMBAZA UPENDO KWA WAKAZI WA GEITA

Pichani kati msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akiwa na madansa wake wakilishambulia jukwaa kwa namna ya kipekee usiku huu kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini Shinyanga.Wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,Ney Wa Mitego (pichani kulia) na Stamina wakilishambulia jukwaa kwa wimbo wao wa Huko Kwenu vipi,huku makele ya shangwe yakiwa yametawala kila kona ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini Shinyanga usiku huu.Sehemu ya mashabiki wa Fiesta...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani