Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanavijiji Ruangwa wadai kupimiwa ardhi

Wakazi wa Kijiji cha Mipingo Changombe Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi wameiomba Halmshahauri ya Wilaya ya Ruangwa kupima na kutoa hati ya umiliki ardhi kwa wananchi zaidi 1,200, wanaoishi katika eneo linalodaiwa kuwa ni chanzo cha maji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wadai Efatha imewapora ardhi

Kanisa la Efatha Ministry la mjini hapa limeingia matatani na makabila yanayomiliki eneo la Bwibwi yanayodai kuchukuliwa ardhi yao kimabavu.

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi wadai kudhulumiwa ardhi

Wakazi wa Mtaa wa Nyamiongo, Kata ya Makoko mjini Musoma, mkoani Mara, wameilalamikia Serikali kuwanyang’anya maeneo yao na kuyakabidhi jeshini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Mbopo wagoma kupimiwa maeneo

WAKAZI wa Mbopo na maeneo jirani wametangaza mgogoro na Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam wa kugoma kupimwa maeneo yao huku wakitishia kwenda mahakamani endapo manispaa hiyo italazimisha utekelezaji huo....

 

9 years ago

Mwananchi

Wanavijiji walia na njaa

Wakazi wa Wilaya za Butiama na Rorya mkoani Mara wanakabiliwa na njaa baada ya zao la muhogo wanalolitegemea kwa chakula kushambuliwa na magonjwa ya batobato kali na michirizi kahawia.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wanavijiji wasimamisha msafara wa Kinana


MSAFARA wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana,  juzi ulilazimika kusimama kwa dakika kadhaa baada ya wakazi wa baadhi ya vijiji vya Jimbo la Chemba, kuusimamisha.
Kusimama kwa msafara huo kulitokana na wakazi wa vijiji hivyo kusimama barabarani wakiwa na mabango yanayoelezea kilio cha kukosekana kwa maji.
Msafara huo wa Kinana ulikumbana na kadhia hiyo, ulipofika
katika vijiji vya Songoro, Goima, Itolwa, Mrijo na Jenjelusi, maeneo ambayo wananchi wake wamekuwa wakikabiliwa na tatizo la maji...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanavijiji wanusuriwa na jeshi la Chad

Ripoti kutoka nchini Nigeria zinasema kuwa vikosi vya serikali ya Chad vimewanusuru wanavijiji 85 ambao walitekwa nyara.

 

11 years ago

Mwananchi

Wadaiwa kujeruhi, kuua wanavijiji

Wakazi 11 wa vijiji viwili tofauti vya wilayani hapa, wamejeruhiwa na mmoja kufariki dunia kutokana na kundi la watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi kuwashambulia kwa silaha za jadi zikiwamo mapanga na visu.

 

11 years ago

Mwananchi

Simu za mkononi sasa kuwafikia wanavijiji

 Jumla ya Kata 86 zenye vijiji 511 na wakazi wapatao 600,000 nchini wanatarajiwa kupata huduma za mawasiliano ya simu za mkononi hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu baada ya jana Serikali kuwekeana mkataba na kampuni tano za huduma za simu za mkononi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani