Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wadai Efatha imewapora ardhi

Kanisa la Efatha Ministry la mjini hapa limeingia matatani na makabila yanayomiliki eneo la Bwibwi yanayodai kuchukuliwa ardhi yao kimabavu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wananchi wadai kudhulumiwa ardhi

Wakazi wa Mtaa wa Nyamiongo, Kata ya Makoko mjini Musoma, mkoani Mara, wameilalamikia Serikali kuwanyang’anya maeneo yao na kuyakabidhi jeshini.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanavijiji Ruangwa wadai kupimiwa ardhi

Wakazi wa Kijiji cha Mipingo Changombe Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi wameiomba Halmshahauri ya Wilaya ya Ruangwa kupima na kutoa hati ya umiliki ardhi kwa wananchi zaidi 1,200, wanaoishi katika eneo linalodaiwa kuwa ni chanzo cha maji.

 

11 years ago

Mwananchi

Efatha yamjibu Kinana

Bodi ya wadhamini ya huduma ya Efatha, ambao ni wamiliki wa shamba la Efatha, imemjibu katibu mkuu wa CCM, Abdulrahamn Kinana kutokana na kauli yake kuwa atahakikisha Serikali inanyang’anya shamba hilo na kulirejesha kwa wananchi.

 

11 years ago

Habarileo

JK awapa wananchi shamba la Efatha

RAIS Jakaya Kikwete ameagiza kurejeshwa kwa shamba la ekari takribani 12,000 kwa wananchi ambalo liliuzwa kwa taasisi ya Efatha Ministry inayoongozwa na Nabii Josephat Mwingira. Agizo hilo la Rais Kikwete limetolewa jana kupitia Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana wakati akiwahutubia wakazi wa Kata ya Moro katika Kijiji cha Mawenzusi.

 

10 years ago

Habarileo

Lukuvi ajitosa mgogoro wa Efatha

Waziri wa Ardhi na Makazi , William Lukuvi WAZIRI wa Ardhi na Makazi , William Lukuvi amesema serikali itatoa uamuzi wa mgogoro wa shamba la Malonje na vijiji 10 vinavyolizunguka kabla ya Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDORI EFATHA WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO VODACOM TANZANIA

Baadhi ya wanafunzi  wa shule ya sekondari ya Efatha iliyopo Bagamoyo Mkoa wa Pwani, wakimsikiliza Ofisa Rasilimali Watu wa Vodacom Tanzania, Ndihagati Biduga (kulia) akiwafafanulia jambo  wakati walipofanya ziara ya kimafunzo makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Mlimani City jijini Dare s Salaam hivi karibuni. Ndihagati Biduga, Ofisa Rasilimali Watu wa Vodacom Tanzania (kulia) akiwaelezea jambo kuhusiana na mnara wa...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AJITWISHA MGOGORO SUGU WA SHAMBA LA TAASISI YA EFATHA NA WANANCHI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA.

 Sehemu ya umati wa wananchi ukimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Kinana (katikati) alipokuwa akiwahutubia katika Kijiji cha Mawenzusi,wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa.

 Kinana alisema kitendo cha Serikali kuchukua shamba hilo na kulibinafsisha kwa Efatha bila kuwapa taarifa wanakijiji ni kuwadhulumu wanakijiji hao. "Tutakwenda kulifanyia kazi suala hili haiwezekani shamba la zaidi ya ekari 10,000 likae tu bila shughuli yoyote, Nawaambieni hivi. shamba lenu mmedhulumiwa na...

 

5 years ago

Michuzi

OFISI YA ARDHI MKOA WA MARA KUWEZESHWA VIFAA VYA UPIMAJI ARDHI

Na Munir Shemweta, WANMM MUSOMA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesema wizara yake itaipatia ofisi ya ardhi mkoa wa Mara vifaa vya upimaji ili viweze kutumiwa na halmashauri za mkoa huo  kwa lengo la kuongeza kasi ya upimaji. Dkt Mabula alitoa kauli hiyo jana wilayani Musoma mkoa wa Mara alipokwenda kukagua ofisi mpya ya ardhi ya mkoa Mara ikiwa ni jitihada za wizara ya ardhi kusogeza huduma za ardhi kwa wananchi. Awali huduma za ardhi zilikuwa...

 

5 years ago

CCM Blog

OFISI ZA ARDHI ZA MIKOA ZATAKIWA KUWA NA DAFTARI LA MIGOGORO YA ARDHI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua ofisi ya ardhi ya mkoa wa Manyara jana. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexzander Mnyeti na kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Mary Makondo. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akioongozwa na Kamishna Msaidizi wa Ofisi ya Ardhi mkoa wa Manyara Leonard Msafiri (kushoto) wakati wa uzinduzi wa ofisi ya ardhi ya mkoa huo jana. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Manyara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani