Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Efatha yamjibu Kinana

Bodi ya wadhamini ya huduma ya Efatha, ambao ni wamiliki wa shamba la Efatha, imemjibu katibu mkuu wa CCM, Abdulrahamn Kinana kutokana na kauli yake kuwa atahakikisha Serikali inanyang’anya shamba hilo na kulirejesha kwa wananchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KINANA AJITWISHA MGOGORO SUGU WA SHAMBA LA TAASISI YA EFATHA NA WANANCHI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA.

 Sehemu ya umati wa wananchi ukimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Kinana (katikati) alipokuwa akiwahutubia katika Kijiji cha Mawenzusi,wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa.

 Kinana alisema kitendo cha Serikali kuchukua shamba hilo na kulibinafsisha kwa Efatha bila kuwapa taarifa wanakijiji ni kuwadhulumu wanakijiji hao. "Tutakwenda kulifanyia kazi suala hili haiwezekani shamba la zaidi ya ekari 10,000 likae tu bila shughuli yoyote, Nawaambieni hivi. shamba lenu mmedhulumiwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Ikulu yamjibu Warioba

Ofisi ya Rais (Ikulu) imesema haikuwatupia virago wajumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

 

10 years ago

Vijimambo

Nec yamjibu Lowassa.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi ( Nec), imesisitiza kuwa inatangaza matokeo kwa kadiri inavyopokea na siyo kwa kupendelea upande wowote au kujali aliyeshinda.

Mwenyekiti wa Nec, Jaji mstaafu Damian Lubuva (pichani), alitoa ufafanuzi huo jijini Dar es Salaam jana baada ya kutangaza matokeo ya urais katika majimbo 35.

Jaji Lubuva alisema madai yaliyotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa wanatangaza matokeo ya maeneo ambayo Chama Cha Mapinduzi kimeshinda ili kuaminisha umma kuwa ni...

 

10 years ago

Mwananchi

ZEC yamjibu Maalim Seif uchaguzi Zanzibar

Siku moja baada ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kutoa tuhuma nzito dhidi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kuandikisha wapigakura wasio na sifa, tume hiyo imeibuka na kukanusha vikali.

 

11 years ago

Habarileo

JK awapa wananchi shamba la Efatha

RAIS Jakaya Kikwete ameagiza kurejeshwa kwa shamba la ekari takribani 12,000 kwa wananchi ambalo liliuzwa kwa taasisi ya Efatha Ministry inayoongozwa na Nabii Josephat Mwingira. Agizo hilo la Rais Kikwete limetolewa jana kupitia Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana wakati akiwahutubia wakazi wa Kata ya Moro katika Kijiji cha Mawenzusi.

 

11 years ago

Mwananchi

Wadai Efatha imewapora ardhi

Kanisa la Efatha Ministry la mjini hapa limeingia matatani na makabila yanayomiliki eneo la Bwibwi yanayodai kuchukuliwa ardhi yao kimabavu.

 

10 years ago

Habarileo

Lukuvi ajitosa mgogoro wa Efatha

Waziri wa Ardhi na Makazi , William Lukuvi WAZIRI wa Ardhi na Makazi , William Lukuvi amesema serikali itatoa uamuzi wa mgogoro wa shamba la Malonje na vijiji 10 vinavyolizunguka kabla ya Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDORI EFATHA WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO VODACOM TANZANIA

Baadhi ya wanafunzi  wa shule ya sekondari ya Efatha iliyopo Bagamoyo Mkoa wa Pwani, wakimsikiliza Ofisa Rasilimali Watu wa Vodacom Tanzania, Ndihagati Biduga (kulia) akiwafafanulia jambo  wakati walipofanya ziara ya kimafunzo makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Mlimani City jijini Dare s Salaam hivi karibuni. Ndihagati Biduga, Ofisa Rasilimali Watu wa Vodacom Tanzania (kulia) akiwaelezea jambo kuhusiana na mnara wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani