Ikulu yamjibu Warioba
Ofisi ya Rais (Ikulu) imesema haikuwatupia virago wajumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo03 Apr
Ikulu yaanika posho Tume ya Warioba
TUME ya Mabadiliko ya Katiba haikufukuzwa kazi, isipokuwa siku ya ukomo iliwekwa kwa mujibu wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba. Ikulu imesisitiza kuwa haikuwa na madaraka wala mamlaka, kuibadilisha. Aidha, Ikulu imeanika viwango vya posho, ambavyo wajumbe wa tume hiyo walikuwa wakilipwa vya kati ya Sh 100,000 na Sh 500,000 kwa siku.
10 years ago
Mwananchi10 Nov
TAMKO: Ikulu: Tumefedheheshwa Jaji Warioba kushambuliwa
>Serikali inapitia upya ulinzi wa viongozi wastaafu ili kuepuka fedheha iliyotokana na vurugu alizofanyiwa Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba hivi karibuni.
11 years ago
Mwananchi10 Apr
Efatha yamjibu Kinana
Bodi ya wadhamini ya huduma ya Efatha, ambao ni wamiliki wa shamba la Efatha, imemjibu katibu mkuu wa CCM, Abdulrahamn Kinana kutokana na kauli yake kuwa atahakikisha Serikali inanyang’anya shamba hilo na kulirejesha kwa wananchi.
9 years ago
Vijimambo28 Oct
Nec yamjibu Lowassa.
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ( Nec), imesisitiza kuwa inatangaza matokeo kwa kadiri inavyopokea na siyo kwa kupendelea upande wowote au kujali aliyeshinda.
Mwenyekiti wa Nec, Jaji mstaafu Damian Lubuva (pichani), alitoa ufafanuzi huo jijini Dar es Salaam jana baada ya kutangaza matokeo ya urais katika majimbo 35.
Jaji Lubuva alisema madai yaliyotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa wanatangaza matokeo ya maeneo ambayo Chama Cha Mapinduzi kimeshinda ili kuaminisha umma kuwa ni...
Mwenyekiti wa Nec, Jaji mstaafu Damian Lubuva (pichani), alitoa ufafanuzi huo jijini Dar es Salaam jana baada ya kutangaza matokeo ya urais katika majimbo 35.
Jaji Lubuva alisema madai yaliyotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa wanatangaza matokeo ya maeneo ambayo Chama Cha Mapinduzi kimeshinda ili kuaminisha umma kuwa ni...
10 years ago
Mwananchi12 May
ZEC yamjibu Maalim Seif uchaguzi Zanzibar
Siku moja baada ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kutoa tuhuma nzito dhidi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kuandikisha wapigakura wasio na sifa, tume hiyo imeibuka na kukanusha vikali.
9 years ago
MichuziJAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA KWENYE KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KAWE
Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba.
Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, akipongezwa na wanaCCM katika mkutano wa kampeni...
Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, akipongezwa na wanaCCM katika mkutano wa kampeni...
9 years ago
VijimamboJAJI WARIOBA AMNADI KIPPI WARIOBA
Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kippi Warioba, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika katika Kata ya Makongo Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam Jumapili Sept. 20.15. Kushoto ni Mgombea Udiwani wa Kata hiyo, Charles William Iteba. PICHA ZOTE/JOHN BADI WA DAILY MITIKASI BLOGWaziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (katikati), akizungumza wakati akiwanadi...
10 years ago
VijimamboKauli ya LOWASSA Yaleta Gumzo 'Maskini Akienda IKULU Ataiba si Ndio? Tajiri Akienda Ikulu Atawapa watu Mbinu za Utajiri'
Kweli au si kweli? Maskini akienda IKULU ataiba si ndio? Tajiri akienda Ikulu atawapa watu mbinu za utajiri....ama, maskini akienda ataongoza kwa kuelewa matatizo ya wananchi wake na kuwapa kipaumbele...na tajiri yeye hatajali kundi la maskini wanahitaji nini maana hajui umaskini unafananaje?? Vyovyote vile!! Bado tunasikiliza na kupima sera za wagombea wote...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania