Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanavijiji wanusuriwa na jeshi la Chad

Ripoti kutoka nchini Nigeria zinasema kuwa vikosi vya serikali ya Chad vimewanusuru wanavijiji 85 ambao walitekwa nyara.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

WATU 241 WALIOTEKWA NYARA NA BOKO HARAM NIGERIA WANUSURIWA

Watu 241 waliotekwa nyara na Boko Haram Nigeria wanusuriwaJeshi la Nigeria limewaokoa watu 241 waliokuwa wametekwa nyara na kundi la kigaidi la Boko Haram.Katika taarifa, Wizara ya Ulinzi ya Nigeria imesema watu hao waliokolewa katika oparesheni iliyofanyika katika eneo la Gamoru jimboni Borno kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Nigeria  John Enenche amesema mateka hao ni pamoja na wanawake 105 na watoto 136, ambao wameokolewa wilayani Mudu kwenye operesheni iliyofanywa na vikosi vya Lafiya Dole Jumapili, na sasa wako...

 

9 years ago

Mwananchi

Wanavijiji walia na njaa

Wakazi wa Wilaya za Butiama na Rorya mkoani Mara wanakabiliwa na njaa baada ya zao la muhogo wanalolitegemea kwa chakula kushambuliwa na magonjwa ya batobato kali na michirizi kahawia.

 

11 years ago

Mwananchi

Wadaiwa kujeruhi, kuua wanavijiji

Wakazi 11 wa vijiji viwili tofauti vya wilayani hapa, wamejeruhiwa na mmoja kufariki dunia kutokana na kundi la watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi kuwashambulia kwa silaha za jadi zikiwamo mapanga na visu.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Wanavijiji wasimamisha msafara wa Kinana


MSAFARA wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana,  juzi ulilazimika kusimama kwa dakika kadhaa baada ya wakazi wa baadhi ya vijiji vya Jimbo la Chemba, kuusimamisha.
Kusimama kwa msafara huo kulitokana na wakazi wa vijiji hivyo kusimama barabarani wakiwa na mabango yanayoelezea kilio cha kukosekana kwa maji.
Msafara huo wa Kinana ulikumbana na kadhia hiyo, ulipofika
katika vijiji vya Songoro, Goima, Itolwa, Mrijo na Jenjelusi, maeneo ambayo wananchi wake wamekuwa wakikabiliwa na tatizo la maji...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanavijiji Ruangwa wadai kupimiwa ardhi

Wakazi wa Kijiji cha Mipingo Changombe Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi wameiomba Halmshahauri ya Wilaya ya Ruangwa kupima na kutoa hati ya umiliki ardhi kwa wananchi zaidi 1,200, wanaoishi katika eneo linalodaiwa kuwa ni chanzo cha maji.

 

11 years ago

Mwananchi

Simu za mkononi sasa kuwafikia wanavijiji

 Jumla ya Kata 86 zenye vijiji 511 na wakazi wapatao 600,000 nchini wanatarajiwa kupata huduma za mawasiliano ya simu za mkononi hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu baada ya jana Serikali kuwekeana mkataba na kampuni tano za huduma za simu za mkononi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sikika: Wanavijiji wanakosa huduma bora za afya

UKOSEFU wa mara kwa mara wa dawa muhimu na vifaatiba katika vituo vya huduma za afya vya umma, ni tatizo linalowaathiri zaidi wananchi wa vijijini. Hayo yalisemwa Dar es Salaam...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mfuga nyuki wa tuzo ya ‘Rais’ akoromea wanavijiji

DSC00711

Rais wa shirikisho la wafuga nyuki duniani Gilles Ratia (wa tatu kulia) akifafanua jambo kuhusu mizinga ya nyuki kwa Kaimu Mkurugenzi misitu Gladnees Mkamba.Wa kwanza kulia ni mtendaji mkuu misitu, Juma Mgoo na anayefuatia ni Meneja shirika la Future Development Initiatives Jonathan Njau.

Nathaniel Limu, Singida

MSHINDI wa tuzo ya Rais  juu ya ufugaji  bora wa nyuki  kwa mwaka jana  Jackson Sombi,  wa mkoani Singida, ameibua tuhuma nzito  dhidi ya wana-kijiji wenzake akidai kuwa  ndio...

 

9 years ago

Mwananchi

Wanavijiji lawamani kuharibu msitu wa Mkindu Mvomero

Wakazi wa vijiji 20 wilayani Mvomero Mkoa wa Morogoro wamedaiwa kuharibu msitu wa asili wa Mkindu kwa kufanya shughuli za kibinadamu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani