Wakazi Ruvuma waahidi kumuunga mkono Rais Magufuli
Wakazi wa Mkoa wa Ruvuma wamesema wanaungana na Rais John Magufuli katika kuijenga Nchi kimaendeleo na kiuchumi.
Wakazi hao wamemuomba Rais Magufuli kuzipa kipaumbele changamoto zinazoukabili Mkoa wa Ruvuma kama viwanda, pembejeo za kilimo na kukuza mitaji.
Wananchi hao wamesema katika Vitabu vya Dini vinasema Roho ya Mungu ilitulia katika Maji, na Dalili ya Mvua iliyonyesha wakati anaapishwa Rais Mteule Dr John Pombe Magufuli ni ishara ya kuonyesha mkono wa Mwenyezi Mungu upo pamoja na...
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziOLE SENDEKA AWATAKA WATANZANIA KUMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka, (kulia) akishuhudia mazishi ya mdogo wake Sumleck Ole Sendeka ambaye alikuwa Katibu mwenezi wa CCM Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, yaliyofanyika nyumbani kwao Losokonoi Kata ya Naberera.
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka (kulia) akipokea rambirambi kutoka kwa Katibu wa CCM Mkoani Manyara, Naomi Kapambala kwenye msiba wa mdogo wake Sumleck Ole Sendeka ambaye alikuwa Katibu mwenezi wa CCM wilayani Simanjiro aliyezikwa nyumbani...
5 years ago
MichuziMWENYEKITI CWT SINGIDA AJIUZULU, ATOA KAULI NZITO, AWAOMBA WALIMU KUMUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Walimu (CWT) Mkoa wa Singida, Aran Jumbe akizungumza mbele ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama hicho ngazi ya mkoa muda mfupi kabla ya kujiuzulu nafasi yake.
Mwenyekiti mpya wa chama hicho Mkoa wa Singida, Hamis Mtundua akizungumza baada ya kuchaguliwa.
Mtundua akijaza fomu maalamu ya uongozi. Kushoto ni Afisa Kazi Mkoa wa Singida, Boniface Ntalula.
Baadhi ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CWT ngazi ya mkoa wakifuatilia uchaguzi huo.
Mwenyekiti mpya wa Kitengo cha...
9 years ago
MichuziWAFANYAKAZI WA NURU FM 93.5 IRINGA WAFANYA USAFI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA IRINGA KUMUUNGA MKONO RAIS DKT.MAGUFULI
9 years ago
Dewji Blog10 Nov
Mzee Mghuma: “Watanzania wahimizwa kumuunga mkono Dk. Magufuli”
Mzee Mughuna Mtatuu Mdimi (64) mkazi wa kijiji cha Ghalunyangu wilaya ya Singida mkoa wa Singida, awahimiza Watanzania kuweka kando tofauti zao za kisiasa na badala yake wamuunge mkono rais Dk.John Pombe Magufuli,katika kutekeleza ahadi alizozitoa wakati wa kampeni za uchaguzi. (Picha na Nathaniel Limu).
Mkulima na mkazi wa kijiji cha Ghalunyangu tarafa ya Mtinko wilaya ya Singida mkoani hapa, Mughuna Mtatuu Mdimi (85), amewasihi Watanzania wote kuweka pembeni itikadi zao za kisiasa,na...
9 years ago
Dewji Blog29 Sep
Vijana waanzisha Club kumuunga mkono Dkt. Magufuli
Mratibu wa Kampeni upande wa Vijana CCM kwa Mkoa wa Dar es Salaam na Vyuo Vikuu Bw. Daniel Zenda akizungumza na Zaidi ya Vijana 500 kutoka Jimbo la Mbagala wakati wa uzinduzi wa MAGUFULI Club jijini Dar es Salaam jana. MAGUFULI Club imeanzishwa kama jukwaa la kuwakutanisha vijana nchini kote wanaomuunga mkono mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli.
Mratibu wa MAGUFULI Club wilaya ya Temeke Bw. Peter Dafi akizungumza na vijana kutoka Jimbo la Mbagala...
10 years ago
Michuzi9 years ago
MichuziWASANII WA BONGO MOVIE WAIBUKIA MJINI IRINGA,WATANGAZA KUTEMBEA NCHI NZIMA KWA BAJAJ KUMUUNGA MKONO DKT MAGUFULI
Magufulika staili kama kawa,hata...
9 years ago
Dewji Blog29 Sep
Wasanii wa Bongo Movie waibukia mjini Iringa, watangaza kutembea nchi nzima kwa Bajaj kumuunga mkono Dkt. Magufuli
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10