Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKAZI WA IRINGA WABURUDIKA NA UJIO WA TAMASHA LA FIESTA 2014 NDANI YA UWANJA WA SAMORA.

 Wasanii wa muziki wa Bongofleva Ommy Dimpo na Vanessa Mdee a.k.a Vmoney wakilishambulia jukwaa kwa pamoja mbele ya umati wa mashabiki wa tamasha la Fiesta 2014  lililofanyika jana ndani ya uwanja wa Samora mkoani Iringa,huku miluzi na shangwe zikisikika kila kona ya uwanja.Tamasha la Fiesta linatarajiwa kufanyika kesho mjini Morogoro katika uwanja wa Jamuhuri ambapo wasanii mbalimbali wa bongofleva watatumbuiza.Baadhi ya Mashabiki wakishangqweka. Msanii Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA SHINYANGA WAKUNWA NA UJIO WA TAMASHA LA FIESTA,LEO KUSAMBAZA UPENDO KWA WAKAZI WA GEITA

Pichani kati msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akiwa na madansa wake wakilishambulia jukwaa kwa namna ya kipekee usiku huu kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini Shinyanga.Wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,Ney Wa Mitego (pichani kulia) na Stamina wakilishambulia jukwaa kwa wimbo wao wa Huko Kwenu vipi,huku makele ya shangwe yakiwa yametawala kila kona ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini Shinyanga usiku huu.Sehemu ya mashabiki wa Fiesta...

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA TABORA WALIPOKEA VYEMA TAMASHA LA FIESTA 2014.

Msanii mwingine anaekuja vyema kwenye anga ya muziki wa Bongofleva aitwaye Kadja ambaye anatamba na wimbo wake wa Maumivu niache akiimba pamoja na Linah.Mkali wa Bongo Hip Hop Farid Kubanda a.k.a Fid Q akikamua vilivyo juu ya jukwaa na la Fiesta.Msanii wa Bongofleva,Kadja akiimba wimbo wake wa Maumivu niache mbele ya maelfu ya wakazi wa Tabora (hawapo pichani) waliofika kwenye tamasha la Fiesta usiku wa kuamkia leo. Ilikuwa buruuudani ya kusambaza upendo wa kweli kwa wakazi wa Tabora...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA FIESTA 2014 LASAMBAZA UPENDO WA KUTOSHA KWA WAKAZI WA MUSOMA.

Wasaniii walioshiriki tamasha la Fiesta 2014 wakiwa na mishumaa jukwaani wakisambaza upendo na kuwafariji wale wote waliopotelewa na ndugu zao,waliojeruhiwa katika ajali iliyotokea  hivi karibuni wilayani Butiama mkoani Mara,ambapo watu zaidi ya 40 walipoteza maisha na wengine kujeruhiwa vibaya.
 Sehemu ya umati wa wakazi wa mji wa musoma wakiwa ndani ya uwanja wa Karume,wakati tamasha la Fiesta 2014,likiendelea huku shangwe za hapa na pale zikiwa zimetawala kila kona ya uwanja. Mmoja wa...

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA JIJI LA TANGA NA VITONGOJI VYAKE WAKUBALI MAKAMUZI YA TAMASHA LA FIESTA 2014.

Vanessa Mdee a.k.a Vmoney akiimba jukwaani kwenye tamasha la Fiesta 2014 ndani ya uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga,huku akiwa na staili yake ya kipekee kabisa.
Maelekezo ya hapa na pale kutoka kwa mafundi mitambo na jukwaa ilikuwa ikifanyika ili mambo yaende sawa.Linah akilinogesha jukwaa la Fiesta na wimbo wake wa Ole Temba.Ommy Dimpoz akimpagawisha shabiki wake jukwaani kwa staili ya Kantangazee...!Ali Kiba na vijana wake wakilishambulia jukwaa la Fiesta.waliojoitokeza kwenye tamasha la...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA FIESTA 2014 LILIVYOSAMBAZA UPENDO KWA WAKAZI WA MJI WA MOSHI MWISHONI MWA WIKI

 Mmoja wa mashabiki wa tamasha la Fiesta 2014 pichani akitazama kwa makini yaliyokuwa yakijiri kwenye jukwaa la tamasha hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki mjini Moshi. Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akiimba kwa hisia jukwaani. Mashabikii wakishangilia jambo wakati wasanii mbalimbali wa tamasha la Fiesta 2014 wakiendelea kutumbuiza jukwaani. Mwanadada Feza Kessy akiimba jukwaani wakati wa tamasha la Fiesta 2014 lililofanyka mwishoni mwa wiki katika viwanja vya...

 

11 years ago

Bongo5

Picha: Serengeti Fiesta 2014 Mwanza yafana ndani ya uwanja wa CCM Kirumba

Wasanii mbalimbali jana August 9 waliwaburudisha mashabiki wa muziki wao katika tamasha la Serengeti Fiesta jijini Mwanza. Diamond na Linah Miongoni mwa wasanii waliotoa burudani ni pamoja na Stamina,Madee,Dogo Janja,Jokate, Nay wa Mitego,Nyandu Tozi, Mr Blue, Diamond, Chege na Temba na wengine wengi. Hizi ni picha za show hiyo iliyofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba. […]

 

11 years ago

Michuzi

Eid El Fitr uwanja wa samora mjini iringa leo

Waumini  wa  dini ya kiislamu mjini  Iringa  wakiwa katika ibada ya Eid el Firt  uwanja wa Samora  leoIbada ya   Eid ikiendelea katika uwanja wa Samora mjini Iringa  leo Wazee maarufu na makada  wa  CCM ambao ni waumini wa dini ya Kiislam  wakipiga picha ya pamoja na mwenyekiti wa CCM Iringa mjini Abed Kiponza  kulia  wa pili  kulia ni Mr  MbataKhutba baada ya SWala ya Eid el Fitr uwanja wa Samora mjini Iringa leo.
Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA...

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA DODOMA WASAMBAZA UPENDO WA KUTOSHA NDANI YA TAMASHA LA FIESTA MKOANI DODOMA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akitumbuiza jukwaani pamoja na mcheza shoo wake mbele ya mashabiki wa tamasha la Fiesta 2014 lililofanyika ndani ya uwanja wa Jamhuri,mkoani Dodoma usiku wa kumkia leo.
Pichani ni kulia ni Msanii wa bongofleva AbdulKiba akiimba sambamba na kaka yake Alli Kiba ambaye amekuwa akifanya vyema katika anga ya muziki wa kizazi kipya kupitia nyimbo zake mbili alizoziachai hivi karibuni,ikiwemo MwanaDaisalama na Kimasomaso,Mkali mwingine wa muziki wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani