Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKAZI WA IRINGA WAITUMIA VALENTINE'S DAY KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA

 Wanaharakati Manispaa ya Iringa wakiitumia Siku ya Wapendanao 'Valentine's Day' kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia  leo.  Wanaharakati  wakiwa  katika…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAKAZI WA MIKOA YA MANYARA,ARUSHA NA KILIMANJARO WAJITOKEZA UZINDUZI WA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA

Brass Band ya Chuo cha Polisi Moshi ikiongoza maandamano ya uzinduzi wa kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kanda ya kaskazini. 
Wanafunzi wa kozi ya awali ya Askari Polisi kutoka shule ya Polisi Tanania wakiwa katika manda,ano ya uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Kanda ya Kaskazini. Mkuu wa wilaya ya Moshi Novatus Makunga aliyekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kujinsia kanda ya kaskazini akimsikiliza Mwenyekiti wa Mwavuli wa...

 

10 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA 'KING OF THE BEST MELODIES' AAHIDI MAKUBWA SHOO YA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE

Christian Bella (kulia) akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya shoo yake ya Valentine kwenye Ukumbi wa Dar Live. Bella akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani).…

 

11 years ago

Mwananchi

‘Tuungane kupinga ukatili wa kijinsia’

>Jamii imetakiwa kufanya jitihada za kutosha kuhakikisha vitendo vya ukatili wa kijinsia vinakomeshwa badala ya kuwaachia jukumu hilo wanasiasa pekee.

 

10 years ago

Mwananchi

Kampeni kupinga ukatili wa kijinsia yaiva

Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Afrika (Wildaf) limeandaa kampeni ya siku 16 kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia.

 

10 years ago

Vijimambo

Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP

Maandamano ya washiriki wa hafla ya Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP. Maandamano ya washiriki wa hafla ya Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP.Msanii Christian Bella akiwatumbuiza washiriki katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo yameandaliwa na TGNP Mtandao. Msanii Christian Bella akiwatumbuiza washiriki katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo yameandaliwa na TGNP MtandaoMgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP, Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora –Tanzania, Bi.  Mary Massay akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa eneo la kula kiapo kwa washiriki kupinga ukatili. Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP, Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora –Tanzania, Bi. Mary Massay akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa eneo la kula kiapo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

PWMO yajikita kupinga ukatili wa kijinsia

WANAHABARI wanawake mkoani Pwani wamezindua chao kinachofahamika kwa jina la PWMO. Uzinduzi huo ulikuwa na kaulimbiu ya kupinga ukatili wa kijinsia unaofanywa katika maeneo mbalimbali  ndani na nje ya mkoa...

 

9 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA WANAHARAKATI WA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA

Bendi ya Jeshi la Polisi wakiongoza maandamano ya wanaharakati.  Wanaharakati kutoka Taasisi mbalimbali wakiwa na mabango yaokwenye maandamano yaliyoanzia Uzuri Sinza na kuishia katika ukumbi wa ubungo plaza jijini Dar es salaam leo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Dewji Blog

TGNP yafanya Tamasha kupinga Ukatili wa Kijinsia

v

Kaimu Mkuu wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Bi.Lilian Liundi akizungumza na baadhi ya vyombo vya habari.

Na Mwandishi wetu

Tamasha  la kupinga  ukatili wa kijinsia lililojulikana kama siku ya rangi ya chungwa lilifanyika jana jijini Dar es Salaam kupinga unyanyasaji kwa mwanamke na mtoto wa kike.

Akizungumza na waandishi wa habari Kaimu Mkurugenzi wa  TGNP Liliani Liundi alisema, Tanzania ilipewa jina la kisiwa cha amani lakini  jina  hili haliwezi kuwa la kweli ikiwa kuna...

 

10 years ago

Michuzi

KANDA YA KASKAZINI WAADHIMISHA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA

Wanaharakati kutoka shirika la Kwieco la mkoani Kilimanjaro wakiwa katika maandalizi ya maadhimisho ya siku 16 za kupingaukatili wa kijinsia.Maandamano ya kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yakipita katika mitaa mbalimbali ya mji wa Moshi.Mkurugenzui wa shirika la KWIECO ,Elizabeth Minde (mwenye miwani myeusi) akiwa katika maandamano hayo.Brass Band ya Chuo cha Polisi ikiongoza maandamano ya maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa kanda ya kaskazini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani