WAKAZI WA JIJI LA DAR WAUNGANA NA MKUU WA MKOA, NA MEYA WA KINONDONI KUFANYA USAFI MTO MLALAKUWA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki akiungana na Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda walipoungana na wananchi kufanya usafi katika mto wa Mlalakuwa jijini Dar es Salaam ili kuepukana na ugonjwa uliozuka wa Dengue ambao umekuwa tishio wakati akizindua zoezi la kufanya usafi jijini lililokwenda kwa jina la ‘MLALAKUWA MTO WETU, AFYA YETU’ lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
WAKAZI WA JIJI LA DAR WAUNGANA NA MKUU WA MKOA, NA MEYA WA KINONDONI KUFANYA USAFI MTO MLALAKUWA


10 years ago
MichuziMEYA WA KINONDONI ASHIRIKI KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA NA WAKAZI WA MIKOCHENI B
11 years ago
GPL
GREEN WASTE PRO LTD WAENDESHA KAMPENI YA WIKI 3 YA KUFANYA USAFI KATIKATI YA JIJI
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya usafi ya Green Waste Pro Ltd. wadau na wananchi wakijipanga tayari kuanza kampeni ya wiki tatu ya kusafisha maeneo mbalimbali ya katikati ya jiji iliyozinduliwa rasmi na Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi ikiwa ni awamu ya kwanza kwa mwaka huu kabla ya kuelekea kwenye kata nyingine mbili zilimo ndani ya manispaa ya Ilala wakishirikiana na wananchi. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya usafi...
10 years ago
GPL
MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA APIGA MARUFUKU UCHIMBAJI MCHANGA MTO MBEZI NA KAWE
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akizungumza na wakazi wa Mbezi na Kawe Ukwamani ambao nyumba zao zilibomoka kutokana na mmomonyoko wa ardhi uliosababishwa na shughuli za kibinadamu kama vile uchimbaji wa mchanga katika mto huo hali iliyosababisha kingo za mto huo kupanuka hadi kwenye makazi ya watu. Makonda aliwatembelea wakazi hao Dar es Salaam jana.  DC Makonda akiwa ameongozana na viongozi mbalimbali wakati...
11 years ago
GPL
WATENDAJI DAR WAASWA KUSHIRIKIANA ILI KUWEKA JIJI KATIKA HALI YA USAFI
Meneja Huduma Maji taka kutoka Dawasco, Mathias Mulagwande (mwenye suti ya damu ya mzee) akinyoosha kidole kumuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick (wa pili kulia) sehemu korofi za kutiririsha maji machafu barabara ya Morogoro kati kati ya jiji . Meneja Huduma Maji taka kutoka Dawasco, Mathias Mulagwande akiwaonyesha baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam, akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dar, Said Meck Sadick...
11 years ago
GPLWAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WATIMKA NA BODABODA
Baadhi ya washindi wa Promosheni ya Timka na Bodaboda wa Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwa wamesimama mbele ya pikipiki zao baada ya kukabidhiwa rasmi na Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Bw. Matina Nkurlu (hayupo pichani). Promosheni hiyo imeisha rasmi na imebadilisha maisha ya Watanzania zaidi ya mia saba (700).
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Bw.Matina Nkurlu (kulia) akibadilishana mawazo na baadhi ya...
10 years ago
GPL
WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM KUENDELEA KUNUFAIKA NA HUDUMA ZA MAWASILIANO
Ofisa Mkuu wa Idara ya Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania,Keith Tukei(katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya la Vodacom Tanzania lililopo katika maduka ya Shoppers plaza Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.Wengine katika picha kushoto ni mteja wa kwanza kufika kupata huduma katika duka hilo Bw.Argylle Tsvakai na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo, Rosalynn Mworia.… ...
9 years ago
Michuzi
WATENDAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAHIMIZWA KUSIMAMIA USAFI IPASAVYO -KATIBU MKUU TAMISEMI

Katika agizo hilo la Serikali ametoa wiki mbili kwa watendaji wote kuhakikisha wanaliweka jiji katika hali ya usafi na endapo halitatekelezwa hatua zitachukuliwa dhidi yao.
Akizungumza na watendaji wa Serikali leo jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za...
9 years ago
MichuziWANANCHI, WAFANYA BIASHARA, WANASIASA, NA WANAFUNZU WA JIJI LA MBEYA WATIMIZA WAJIBU WA KUFANYA USAFI KATIKA MAENEO MBALIMBALI YA JIJI LA MBEYA.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania