WATENDAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAHIMIZWA KUSIMAMIA USAFI IPASAVYO -KATIBU MKUU TAMISEMI
![](http://2.bp.blogspot.com/-3IXg8ym2_l4/VkXLDr34JnI/AAAAAAAIFss/e6E8hRt5gqk/s72-c/Cholera_bacteria_SEM-640x360.jpg)
Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiSERIKALI imewaagiza watendaji wa Halmashauri zote za jijini Dar es Salaam kusimamia ipasavyo suala la usafi katika maeneo mbalimbali ili kusadia kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu.
Katika agizo hilo la Serikali ametoa wiki mbili kwa watendaji wote kuhakikisha wanaliweka jiji katika hali ya usafi na endapo halitatekelezwa hatua zitachukuliwa dhidi yao.
Akizungumza na watendaji wa Serikali leo jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
HAPA KAZI TU: Watendaji waagizwa kusimamia usafi wa jiji la Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ( TAMISEMI) Jumanne Sagini (pichani).
Na Shamimu Nyaki -Maelezo
[DAR ES SALAAM] Watendaji wa Manispaa za Jiji la Dar es salaam wametakiwa kusimamia kwa ukamilifu suala la usafi katika maeneo yao ili kuzuia kusambaa kwa uchafu unaosababisha magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu.
Rai hiyo imetolewa leo na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ( TAMISEMI) Jumanne Sagini wakati...
9 years ago
MichuziWATENDAJI WA TAMISEMI WATAKIWA KUSIMAMIA SHERIA KUHUSU USAFI, UJENZI HOLELA, WANAOFANYA BIASHARA MAENEO YA DART
9 years ago
Dewji Blog06 Dec
TAMISEMI yaendelea kuhamasisha suala la usafi jijini Dar es Salaam
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Kagyabukama Kiliba (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Dar es salaam na Halmashauri ya Wilaya ya Ilala wakiwasili eneo la soko la Feri jijini Dar es salaa kujionea hali ya usafi wa soko hilo.
Baadhi ya wahudumu wakiendelea na usafi eneo la soko la Feri jijini Dar es salaa huku Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Kagyabukama...
11 years ago
Michuzi25 Mar
WATENDAJI DAR WAASWA KUSHIRIKIANA ILI KUWEKA JIJI KATIKA HALI YA USAFI
![DSC_1151](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/03/DSC_1151.jpg)
Meneja Huduma Maji taka kutoka Dawasco, Mathias Mulagwande (mwenye suti ya damu ya mzee) akinyoosha kidole kumuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick (wa pili kulia) sehemu korofi za kutiririsha maji machafu barabara ya Morogoro kati kati ya jiji.
Na Damas Makangale
WATENDAJI wa Mamlaka za Maji Safi na Taka, Manispaa, Halmashauri, Wakala wa Barabara na Mabasi yaendayo kasi wameshauri kuwa na utaratibu wa kuwasiliana na kushirikiana kwa pamoja ili kuleta tija katika...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/03/DSC_1151.jpg?width=640)
WATENDAJI DAR WAASWA KUSHIRIKIANA ILI KUWEKA JIJI KATIKA HALI YA USAFI
9 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA IDARA YA UHAMIAJI KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM — AWATAKA WATENDAJI KWENDA NA KASI MPYA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ExcAKJjmEls/VHYFHwQe2SI/AAAAAAAGzm4/sXRLemzNbm0/s72-c/unnamed%2B(17).jpg)
KATIBU MKUU TAMISEMI AKUTANA NA VYOMBO VYA HABARI JIJINI DAR LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-ExcAKJjmEls/VHYFHwQe2SI/AAAAAAAGzm4/sXRLemzNbm0/s1600/unnamed%2B(17).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-VNoKuKFBcl8/VHYFIaZNUlI/AAAAAAAGzm8/ssHutRqc9Xc/s1600/unnamed%2B(18).jpg)
9 years ago
MichuziNaibu Katibu Mkuu wa TAMISEMI akagua hali ya mazingira ya soko la Temeke Sterio, jijini Dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-3g2gtthl8oo/VmGEoI-lFxI/AAAAAAAIKKo/xzNWNlVk2u0/s640/5.jpg)