Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HAPA KAZI TU: Watendaji waagizwa kusimamia usafi wa jiji la Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Tamisemi, Jumanne Sagini akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)Katibu Mkuu  Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ( TAMISEMI)  Jumanne Sagini  (pichani).

Na Shamimu Nyaki -Maelezo

[DAR ES SALAAM]  Watendaji wa Manispaa za Jiji la Dar es salaam wametakiwa kusimamia kwa ukamilifu suala la usafi katika maeneo yao ili kuzuia kusambaa  kwa uchafu unaosababisha magonjwa ya mlipuko  ikiwemo   kipindupindu.

Rai hiyo imetolewa leo  na  Katibu Mkuu  Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ( TAMISEMI)  Jumanne Sagini wakati...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WATENDAJI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAHIMIZWA KUSIMAMIA USAFI IPASAVYO -KATIBU MKUU TAMISEMI

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiSERIKALI imewaagiza watendaji wa Halmashauri zote za jijini Dar es Salaam kusimamia ipasavyo suala la usafi katika maeneo mbalimbali ili kusadia kutokomeza ugonjwa wa kipindupindu.
Katika agizo hilo la Serikali ametoa  wiki mbili kwa watendaji wote kuhakikisha wanaliweka jiji katika hali ya usafi na endapo halitatekelezwa hatua zitachukuliwa dhidi yao.
Akizungumza na watendaji wa Serikali leo jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za...

 

11 years ago

Michuzi

WATENDAJI DAR WAASWA KUSHIRIKIANA ILI KUWEKA JIJI KATIKA HALI YA USAFI

DSC_1151
Meneja Huduma Maji taka kutoka Dawasco, Mathias Mulagwande (mwenye suti ya damu ya mzee) akinyoosha kidole kumuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick (wa pili kulia) sehemu korofi za kutiririsha maji machafu barabara ya Morogoro kati kati ya jiji. 
Na Damas Makangale
WATENDAJI wa Mamlaka za Maji Safi na Taka, Manispaa, Halmashauri, Wakala wa Barabara na Mabasi yaendayo kasi wameshauri kuwa na utaratibu wa kuwasiliana na kushirikiana kwa pamoja ili kuleta tija katika...

 

11 years ago

GPL

WATENDAJI DAR WAASWA KUSHIRIKIANA ILI KUWEKA JIJI KATIKA HALI YA USAFI‏

Meneja Huduma Maji taka kutoka Dawasco, Mathias Mulagwande (mwenye suti ya damu ya mzee) akinyoosha kidole kumuonyesha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick (wa pili kulia) sehemu korofi za kutiririsha maji machafu barabara ya Morogoro kati kati ya jiji . Meneja Huduma Maji taka kutoka Dawasco, Mathias Mulagwande akiwaonyesha baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam, akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dar, Said Meck Sadick...

 

9 years ago

Michuzi

WATENDAJI WA TAMISEMI WATAKIWA KUSIMAMIA SHERIA KUHUSU USAFI, UJENZI HOLELA, WANAOFANYA BIASHARA MAENEO YA DART

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI), Jumanne Sagini wakati akizungumza na watendaji mbalimbali wa ofisi hiyo leo katika mkutano wa kikazi uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Karimjee jijini Dares Salaam , ambapo lengo kuu lilikuwa ni kutoa maelekezo ya utendaji kazi kama ilivyoagizwa na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa.Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Afya -TAMISEMI ,Dkt .Deo Mutasiwa .Baadhi ya watendaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala...

 

9 years ago

GPL

HAPA KAZI TU YA MAMA SAMIA YATIKISA MAJIMBO YA UBUNGO, KINONDONI NA KAWE JIJINI DAR ES SALAAM

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wake wa kampeni aliofanya jana katika eneo la Msasani jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam.  Wananchi wakimshangilia mgombea ,wenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, alipohutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam, jana.… ...

 

9 years ago

Dewji Blog

HAPA KAZI TU: Naibu Katibu Mkuu Mambo ya ndani ya Nchi atembelea makao makuu ya Idara ya uhamiaji Kurasini jijini Dar es Salaam!

PIX 1

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo (kushoto), akisalimiana na Kamishna wa Uhamiaji (Utawala na Fedha), Piniel Mgonja , wakati wa  ziara ya kikazi Makao Makuu ya Uhamiaji,Kurasini jijini Dar es Salaam.  Wa kwanza kushoto ni Kamishna Jenerali  wa Uhamiaji, Sylvester  Ambokile.

PIX 2

Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Sylvester  Ambokile (kushoto), akimuonesha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, baadhi ya Ofisi za Idara ya Uhamiaji,...

 

9 years ago

Habarileo

Madiwani waagizwa kusimamia maliasili

BARAZA jipya la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, limetakiwa kushiriki kikamilifu kuzuia uvamizi wa Hifadhi ya Wanyamapori ya Wami Mbiki na Msitu wa Kuni kwa kuwahimiza wananchi kufuga kisasa zaidi.

 

5 years ago

CCM Blog

RAIS DK. MAGUFULI: SERIKALI HAITAWAFUNGIA WANANCHI MAJUMBANI WALA KULIFUNGA JIJI LA DAR ES SALAAM KWA SABABU YA CORONA, ASISITIZA WATU KUENDELEA KUCHUKUA TAHADHARI ZAIDI HUKU WAKICHAPA KAZI

Rais Dk. Magufuli akizungumza leoKULU, Chato.
Rais Dk. John Magufuli amesema Serikali haitawafungia wananchi majumbani (lockdown) wala kulifunga Jiji la Dar es Salaam ili kuepusha madhara makubwa yanayoweza kuwakumba wananchi na kuathiri uchumi wa nchi, na ametaka Watanzania kuondoa hofu, kuendelea kuchukua tahadhari huku wakiendelea na shughuli zao za uzalishaji mali na ujenzi wa Taifa.

“Tuwaondoe hofu wananchi, sio ugonjwa huu pekee unaosababisha vifo kwa wananchi, na sio kila anayepoteza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani