Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani waagizwa kusimamia maliasili

BARAZA jipya la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, limetakiwa kushiriki kikamilifu kuzuia uvamizi wa Hifadhi ya Wanyamapori ya Wami Mbiki na Msitu wa Kuni kwa kuwahimiza wananchi kufuga kisasa zaidi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Maliasili waagizwa kupeleka ripoti bungeni

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli KAMATI ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira imeiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kuwasilisha ripoti ya utekelezaji wa amri ya Mahakama ya kutaka hoteli zote katika mbuga za wanyama za taifa kulipa ushuru wa kitanda.

 

9 years ago

Dewji Blog

HAPA KAZI TU: Watendaji waagizwa kusimamia usafi wa jiji la Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Tamisemi, Jumanne Sagini akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)Katibu Mkuu  Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ( TAMISEMI)  Jumanne Sagini  (pichani).

Na Shamimu Nyaki -Maelezo

[DAR ES SALAAM]  Watendaji wa Manispaa za Jiji la Dar es salaam wametakiwa kusimamia kwa ukamilifu suala la usafi katika maeneo yao ili kuzuia kusambaa  kwa uchafu unaosababisha magonjwa ya mlipuko  ikiwemo   kipindupindu.

Rai hiyo imetolewa leo  na  Katibu Mkuu  Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ( TAMISEMI)  Jumanne Sagini wakati...

 

10 years ago

Michuzi

MADIWANI ULANGA WAPONGEZWA KWA KUSIMAMIA MATUMIZI SAHIHI YA MAPATO.

  Habari na picha na John NditiMKUU wa mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe, Julai 6, 2015, amefanya ziara ya kikazi katika wilaya ya Ulanga, ambapo moja ya jukumu kubwa lilikuwa ni kulihutubia baraza la madiwani wa halmashauri hiyo , ambalo lilikuwa na jukumu la kupitia majibu ya hoja za ukaguzi kwa mwaka 2013/2014.Hata hivyo katika hotuba yake kwa madiwani hao kabla ya kuvunjwa kwa baraza hilo kupisha uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu, Mkuu huyo wa mkoa alitumia fursa hiyo kuwapongeza...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu alipokutana na baadhi aya madiwani wa Loliondo

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akisalimiana na baadhi aya madiwani wa Loliondo juzi alipokwenda kujadiliana nao kuhusu mgogoro wa ardhi katika maeneo hayo.Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiw ana mkuu wa wilaya ya Loliondo EliasLala lawai alipowasili katika ueanja wa ndege wa Waso, Loliondo kwa ajili ya mazungumzo na n=madiwani kuhusu mgogoro wa aerdhi uliodumu kwa miongoMakamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ngorongoro, Raphael ong'oi akizungumza wakati ea kikao...

 

5 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA MALIASILI WATAKIWA KUHAMISHIA OFISI KATIKA MAENEO YA HIFADHI ILI KULINDA MALIASILI


 Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangala(kushoto) akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri(kulia) na Watumishi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyapori(TAWA), Wakala wa Huduma za Mistu Tanzania (TFS) Kanda ya Magharibi na Hifadhi za Taifa(TANAPA) jana mara baada ya ziara yake ya kikazi Mkoani humo.Waziri wa Maliasili na Utalii...

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAFANYA MKUTANO NA WADAU WA SEKTA YA MALIASILI NCHINI KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA HIYO

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Maliasili nchini leo tarehe 26 Novemba 2015 katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Kampasi ya Bustani Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umeshirikisha wadau mbalimbali wakiwemo wa Wizara zenye muelekeo wa Maliasili, Sekta binafsi, NGOs, Waandishi wa habari na wadau wengine. Mada mbalimbali kutoka katika Sekta ndogo za Wanyamapori, Misitu, Utalii, Mambo ya Kale na Uvuvi...

 

11 years ago

Habarileo

Polisi waagizwa kuacha rushwa

POLISI wametakiwa kubadili tabia kwa kujiepusha na vitendo vya kudai na kupokea rushwa kutoka kwa watu wenye matatizo, yanayohitaji huduma za kipolisi. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Kitengo Ufuatiliaji na Tathimini cha Jeshi la Polisi nchini, Naibu Kamishna (DCP) Mpinga Gyumi.

 

9 years ago

Habarileo

Wakimbizi waagizwa kusalimisha silaha

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa wakimbizi kutoka nchi za Maziwa Makuu kusalimisha silaha wanazozimiliki isivyo halali sambamba na kuwafichua wakimbizi wenzao watakaoingia kambini na silaha na kujihusisha na vitendo vya ujambazi.

 

11 years ago

Habarileo

Makandarasi waagizwa kufuata utaratibu

NAIBU Waziri wa Maji, Amos Makalla amewataka makandarasi wanaofanya kazi katika wilaya ya Mvomero kufuata utaratibu uliowekwa na Baraza la Madiwani la kuwataka wapitie Serikali za vijiji kabla ya kuanza kazi .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani