WAKE WA MARAIS WA AFRIKA WANAOTIKISA
![](http://api.ning.com:80/files/m9h2OjxKkWdOPBJ178L4iMkxaq9sO9aRLd-WXB8fg9GtP5ZY5dgWCVf08irasZbgpaR2dlol5qkVucbS0a-c-cMXr6uhcE7s/WAKE.jpg)
Baada ya wiki iliyopita kuwaletea mabinti warembo wa marais wa nchi kadhaa za Afrika wanaosifika kwa uzuri, wiki hii tunawaletea wake wa marais wa nchi hizo ‘wanaokimbiza’ kwa uzuri, uvaaji nk. Ana Paula Dos Santos. Ana Paula Dos Santos alizaliwa1964, ni mke wa Rais wa Angola, Jose Eduardo Dos Santos, Paula ni mwanamitindo wa zamani, anasifika kwa uzuri na kujua kuvaa.… ...
GPL
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania