Wakenya hawajaipenda hii !! Rais Kenyatta anaendesha gari na hajafunga mkanda.. (+Video)
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa hii itakuwa ni mara ya pili kumuona Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anakaa kwenye kiti cha dereva na kujiendesha mwenyewe kwenye gari !! Hii mpya ni kipande cha interview aliyofanyiwa Rais Kenyatta na mtangazaji wa Citizen TV, Jacque Maribe… ni kipande cha sekunde 15 za promo ya interview hiyo lakini inaonekana Wakenya wengi […]
The post Wakenya hawajaipenda hii !! Rais Kenyatta anaendesha gari na hajafunga mkanda.. (+Video) appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-puDN9uHYQBg/U-Lxmg3-NrI/AAAAAAAAHRE/LtcQpy-24Wg/s72-c/Screen+shot+2014-08-06+at+9.29.08+PM.png)
Hotuba ya Mhe Rais Uhuru Kenyatta kwa waKenya Washington DC. Aug 6, 2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-puDN9uHYQBg/U-Lxmg3-NrI/AAAAAAAAHRE/LtcQpy-24Wg/s640/Screen+shot+2014-08-06+at+9.29.08+PM.png)
5 years ago
BBCSwahili10 Jun
Virusi vya corona: Kwanini Wakenya wanamuomba Rais Kenyatta kuwapatia 'uhuru' ?
10 years ago
Vijimambo24 Sep
VIJIMAMBO KURUSHA LIVE RAIS UHURU KENYATTA ATAKAPOONGEA NA WAKENYA NEW YORK ALHAMISI
![](http://blogs-images.forbes.com/mfonobongnsehe/files/2014/03/KENYATTA.jpg)
10 years ago
Vijimambo26 Sep
ANGALIA LIVE RAIS UHURU KENYATTA AKIONGEA NA WAKENYA MJI WA LOWELL JIMBO LA MASSACHUSETTS
Broadcast live streaming video on Ustream
10 years ago
Vijimambo26 Sep
ANGALIA RECORDED LIVE MHE. RAIS UHURU KENYATTA AKIONGEA NA WAKENYA KUTOKA NEW YORK
Broadcast live streaming video on Ustream
Kwa kuangalia video ya pili bofya soma zaidi
Broadcast live streaming video on Ustream
10 years ago
Vijimambo26 Sep
AGALIA LIVE RAIS UHURU KENYATTA ANAONGEA NA WAKENYA KUTOKA NEW YORK NCHINI MAREKANI
Broadcast live streaming video on Ustream
5 years ago
CCM Blog24 May
RAIS KENYATTA NAYE AKUBALI YA JPM, ASEMA HAWEZI KUENDELEA KUCHUKUA HATUA ZA WAKENYA KUKAA NDANI MILELE
![Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya](https://ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/BC18/production/_112425184_kenyatta.jpg)
11 years ago
CloudsFM10 Jun
AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI KICHWANI BAADA YA KUGONGA MARA MBILI AKIWA ANAENDESHA GARI
MFANYABIASHARA wa madini, Richard Lucas (29), amejipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti na gari lake kupinduka.
Tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa 12 jioni nyumbani kwa marehemu eneo la Kimandolu.
Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo.
Alisema kuwa Lucas alijipiga risasi ya kichwa kwa kutumia bastola aina ya Luger yenye namba B136986 baada ya kuwagonga watu hao.
Kamanda Sabas,...
9 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-jB9FWRS1DJQ/VhJSPk0tQmI/AAAAAAAH9AE/wyJqhp2ZyQ8/s640/ke1.jpg)
RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA MZEE JOMO KENYATTA