Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakiandaliwa vyema watawaandaa watoto wetu kufanikiwa

Kwa mpenzi wa muziki pale unapotazama onyesho, huamini kuwa kazi ya kiongozi wa waimbaji na wapiga vyombo vya muziki ni rahisi kuliko kazi zote duniani. Hii ni kwa sababu mtu huyo kazi yake ni kusimama tu na kunyooshanyoosha mikono yake ikiendana na muziki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wakiandaliwa vyema watawaandaa watoto wetu kufanikiwa(3)

Kwa wiki mbili zilizopita, nimekuwa nikichambua umuhimu wa kuandaa vyema walimu ili wafanikiwe kwenye kazi yao. Pia wawasaidie wanafunzi kujifunza kikamilifu na kufanikiwa maishani.

 

10 years ago

Mwananchi

Wakiandaliwa vyema watawaandaa watoto wetu kufanikiwa(2)

Wiki iliyopita nilianza kuchambua umuhimu wa kuwaandaa vyema walimu kwa kuwapa mafunzo kikamilifu na yanayofaa.

 

10 years ago

Mwananchi

Shule bila viwango hazisaidii watoto kufanikiwa

Falsafa za elimu na maendeleo hujengwa kwanza kwenye fikra, dira, malengo na utashi wa kuamua kwa matendo.

 

10 years ago

GPL

MAKONDA AZINDUA KISIMA CHA MAJI SAFI KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA WATOTO WETU TANZANIA KILICHOJENGWA NA KAMPUNI YA SIMU YA ZANTEL

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Zantel, Pratap Ghose (katikati), akimkaribisha  Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda wakati akiwasili kwenye hafla ya kuzindua kisima cha maji safi katika Kituo cha Watoto Yatima cha Watoto Wetu Tanzania kilichopo Mbezi Suka Dar es Salaam jana. DC Makonda akisaini katika kitabu cha wageni katika kituo hicho.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

DC WA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA KISIMA CHA MAJI SAFI KATIKA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA WATOTO WETU TANZANIA KILICHOJENGWA NA KAMPUNI YA SIMU YA ZANTEL.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu ya Zantel, Pratap Ghose (katikati), akimkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda wakati akiwasili kwenye hafla ya kuzindua kisima cha maji safi katika Kituo cha Watoto Yatima cha Watoto Wetu Tanzania kilichopo Mbezi Suka Dar es Salaam jana.DC Makonda akisaini katika kitabu cha wageni katika kituo hicho.Mmoja wa vijana wa kituo hicho akiigiza igizo kuonesha changamoto zinazowakabili watoto waishio katika mazingira hatarishi.Mkuu wa Kituo cha...

 

10 years ago

Mwananchi

Wazazi tuzitathmini shule za watoto wetu

Naomba kwanza niwatakie heri ya sikukuu ya Krismasi na maandalizi mema ya kuupokea mwaka ujao wa 2015 kwa wote watakaobahatika kuufikia. Tumwombe Mungu mwenye kuumiliki uhai wetu atupe upendeo wa kuufikia mwaka huo.

 

11 years ago

Mwananchi

Kwa hili, tunawafundisha nini watoto wetu?

Amani iwe juu yenu enyi wapendwa wasomaji wangu. Ni matumaini yangu kuwa mmekuwa mkiyafanyia kazi yale yote ninayowaletea katika safu hii.

 

11 years ago

Mwananchi

Tuwanusuru watoto wetu, biashara hii mbaya

Ni matumaini yangu kuwa Mungu anaendelea kuwapigania wapenzi wasomaji wa safu hii na mpo salama katika mapumziko ya mwishoni mwa wiki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani