Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakili maarufu Arusha mbaroni

WAKILI mwandamizi wa kujitegemea wa jijini hapa, Manase Keenja (53) mkazi wa Kijenge Mwanama, Arusha, anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kughushi nyaraka za serikali na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu zaidi ya Sh milioni 320.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kesi ya wakili maarufu yachukua sura mpya

>Kesi ya kutakatisha fedha haramu inayomkabili wakili maarufu jijini hapa, Median Mwale na wenzake watatu, imechukua sura mpya baada ya upande wa utetezi kudai kesi hiyo ilifunguliwa kimakosa kabla ya sheria iliyowashtaki  kutungwa.

 

11 years ago

Habarileo

Jalada la wakili maarufu Mwale kupelekwa Mahakama Kuu

HAKIMU Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa a Arusha , Devota Kamuzora amekubali ombi walilolitoa mawakili upande wa utetezi katika kesi ya wakili maarufu jijini hapa, Median Mwale ya kutakatisha fedha la jalada hilo kupelekwe Mahakama Kuu ili kuamua kama kesi hiyo ilifunguliwa kimakosa au la.

 

10 years ago

Mtanzania

Wauaji wa wanawake Arusha mbaroni

Arusha Town

Arusha Town

ELIYA MBONEA NA EDITHA EDWARD, ARUSHA

JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limewatia mbaroni watu saba wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya wanawake pamoja na uporaji wa kutumia silaha mjini hapa.

Taarifa iliyotolewa kwa waandishi wa habari jana na Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, ilisema kuwa kati ya watuhumiwa hao, wawili walifikishwa mahakamani juzi na kusomewa mashtaka.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, waliokamatwa wanahusika pia na tukio la kumpiga risasi mtoto wa miaka...

 

11 years ago

Mwananchi

Mabomu saba yakamatwa Arusha, 25 watiwa mbaroni

>Jeshi la Polisi limekamata mabomu saba ya kutupa kwa mkono, risasi sita za bunduki aina ya Shortgun, mapanga mawili na bisibisi moja, katika operesheni dhidi ya matukio ya mabomu mjini hapa.

 

11 years ago

Michuzi

watuhumiwa 25 mbaroni arusha kwa kushukiwa kuhusika na matukio ya kigaidi nchini

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai(DCI)Isaya Mngulu akishauriana na maafisa wake leo
Kufuatia tukio la mlipuko wa bomu siku ya tarehe 7/7/2014 majira ya saa 22.15 usiku katika mgahawa wa VAMA, eneo la Uzunguni Jijini Arusha,  ambapo watu wanane walijeruhiwa, Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa 25 kwa uchunguzi. Kufuatia uchunguzi huo kati yao watu sita watafikishwa mahakamani mapema iwezakanavyo.Watuhumiwa watakaofikishwa Mahakamani kwa tukio hilo ni:
1.  SHAABAN  MUSSA MMASA @...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakili anayemtetea mwanahabari avamiwa

WAKILI, Karoli Mluge, anayemtetea mwandishi wa habari, Edith Majura, katika kesi ya kudai makazi yake kwa wasimamizi wa mirathi ya baba mzazi wa watoto wake wawili, marehemu Samweli Komba, amevamiwa...

 

11 years ago

GPL

WAKILI MARANDO ATEMBELEA GLOBAL

Wakili Mabere Marando akizungumza na waandishi wa habari wa Global katika chumba cha habari cha Global. Akiulizwa swali.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakili wa Katiba auawa Msumbiji

Wakili mmoja mashuhuri katika maswala ya katiba amepigwa risasi na kuuawa mjini Maputo msumbiji

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakili asema Pistorius 'amefilisika'

Mahakama inayosikiliza kesi ya mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius imeambiwa kuwa mwanariadha huyo hana pesa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani