Wauaji wa wanawake Arusha mbaroni
Arusha Town
ELIYA MBONEA NA EDITHA EDWARD, ARUSHA
JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limewatia mbaroni watu saba wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya wanawake pamoja na uporaji wa kutumia silaha mjini hapa.
Taarifa iliyotolewa kwa waandishi wa habari jana na Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, ilisema kuwa kati ya watuhumiwa hao, wawili walifikishwa mahakamani juzi na kusomewa mashtaka.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, waliokamatwa wanahusika pia na tukio la kumpiga risasi mtoto wa miaka...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo30 Jun
Wauaji mmiliki wa shule mbaroni
POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumuua mmiliki wa shule ya Mtakatifu Zion, Anna Mizingi (48) kisha kumtumbukiza katika shimo la choo cha shule hiyo.
10 years ago
Habarileo25 Nov
Polisi yaonya wanawake kujichunga na wauaji Dar
KUTOKANA na kushamiri kwa matukio ya wanawake kuuawa na watu wanaodhaniwa ni wapenzi wao wa muda mfupi, Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewaonya wanawake jijini Dar es Salaam kuwa makini na baadhi ya wanaume wanaowataka kimapenzi na kuwaua kisha kutelekeza miili yao.
10 years ago
CloudsFM03 Dec
MBARONI WAKIHUSISHWA NA MAUAJI YA WANAWAKE DAR
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia watu wawili wanaotuhumiwa kufanya vitendo vya utekaji, unyanyasaji wa kijinsia na mauaji ya wanawake.
Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu, Suleiman Kova alisema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Alisema watuhumiwa hao wamehusishwa na vitendo hivyo baada ya upelelezi wa kina na wa kitaalamu uliosaidia kuwakamata wahalifu hao wakiwa na vielelezo mbalimbali.
Kova aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni...
10 years ago
Habarileo07 May
Wakili maarufu Arusha mbaroni
WAKILI mwandamizi wa kujitegemea wa jijini hapa, Manase Keenja (53) mkazi wa Kijenge Mwanama, Arusha, anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kughushi nyaraka za serikali na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu zaidi ya Sh milioni 320.
11 years ago
Mwananchi23 Jul
Mabomu saba yakamatwa Arusha, 25 watiwa mbaroni
11 years ago
Michuzi23 Jul
watuhumiwa 25 mbaroni arusha kwa kushukiwa kuhusika na matukio ya kigaidi nchini
Kufuatia tukio la mlipuko wa bomu siku ya tarehe 7/7/2014 majira ya saa 22.15 usiku katika mgahawa wa VAMA, eneo la Uzunguni Jijini Arusha, ambapo watu wanane walijeruhiwa, Jeshi la Polisi limewakamata watuhumiwa 25 kwa uchunguzi. Kufuatia uchunguzi huo kati yao watu sita watafikishwa mahakamani mapema iwezakanavyo.Watuhumiwa watakaofikishwa Mahakamani kwa tukio hilo ni:
1. SHAABAN MUSSA MMASA @...
11 years ago
Mwananchi09 Aug
‘Wanawake sasa hatarini Arusha’
10 years ago
Habarileo28 Aug
Anayetuhumiwa kuua wanawake Arusha akamatwa
MTU mmoja ambaye inadaiwa kinara wa kuua na kujeruhi wanawake maarufu, wafanyabiashara na wenye vyeo katika ofisi mbalimbali jijini Arusha, Adamu Mussa (30) mkazi wa Majengo Juu jijini humo ametiwa mbaroni.
11 years ago
MichuziMKUTANO WA MAJAJI WANAWAKE DUNIANI KUFANYIKA ARUSHA
Mkutano huo wa Kimataifa ambao utashirikisha jumla ya Majaji Wanawake takribani 600 kutoka nchi mbalimbali duniani wakiongozwa na Rais wao ambaye ni Mtanzania, Mhe. Eusebia Munuo, Jaji wa Rufaa (Mstaafu), utaanza rasmi mnamo tarehe 05 Mei, 2014 na utafunguliwa na Mhe. Dr....