Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wauaji mmiliki wa shule mbaroni

Kamanda wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman KovaPOLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumuua mmiliki wa shule ya Mtakatifu Zion, Anna Mizingi (48) kisha kumtumbukiza katika shimo la choo cha shule hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Wauaji wa wanawake Arusha mbaroni

Arusha Town

Arusha Town

ELIYA MBONEA NA EDITHA EDWARD, ARUSHA

JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha limewatia mbaroni watu saba wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya wanawake pamoja na uporaji wa kutumia silaha mjini hapa.

Taarifa iliyotolewa kwa waandishi wa habari jana na Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, ilisema kuwa kati ya watuhumiwa hao, wawili walifikishwa mahakamani juzi na kusomewa mashtaka.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, waliokamatwa wanahusika pia na tukio la kumpiga risasi mtoto wa miaka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wazazi Geita mbaroni kwa kutopeleka watoto shule

WAZAZI watano mkoani Geita wamekamatwa na Polisi kwa kugoma kuwapeleka watoto wao shule na kuwalazimisha kuwaoza. Hatua hiyo inatokana na agizo la Mkuu wa Mkoa wa Geita, Saisi Magalula, la...

 

10 years ago

GPL

AIBU! TICHA MBARONI KWA KUMUUZISHA MTOTO MAYAI MUDA WA SHULE

Deogratius Mongela na Chande Abdallah
MATUKIO ya mateso, unyanyasaji na utumwa kwa watoto yanashika kasi nchini! Safari hii mwalimu wa shule moja ya msingi iliyopo Mburahati jijini Dar aliyetajwa kwa jina moja la Lucy ametia aibu baada ya kutiwa mbaroni katika Kituo cha Polisi cha Magomeni, Dar akituhumiwa kumtumikisha mtoto mwenye umri wa miaka 12 aitwaye Sakina kwa kumuuzisha mayai ya kuchemsha na soseji. Mwalimu huyo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wauaji wa Meyiwa kutambuliwa

Polisi nchini Africa Kusini wameonesha nyuso zinazo dhaniwa kuwa ni wauaji wa Senzo Meyiwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Wauaji wa albino tunawafuga wenyewe

Habari zenu ndugu wa darasa huru. Natumaini ni wazima. Shukrani zangu za dhati kwenu kwa kuwa pamoja nami katika safu hii Jumamosi ya leo.

 

10 years ago

Habarileo

Kesi za wauaji wa albino kuharakishwa

Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muunngano wa Tanzania Mohamed Chande OthumanJAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman amesema watahakikisha kesi zote zinazohusu mauaji ya walemavu wa ngozi zinapewa kipaumbele.

 

10 years ago

Vijimambo

JK aidhinisha wauaji albino wanyongwe

La sivyo Chama cha Albino kitakwenda UN, Watano wamehukumiwa, hawajala kitanzi.Rais Jakaya Kikwete.
Chama cha Albino Tanzania (Tas) kimemuomba Rais Jakaya Kikwete, aidhinishe utekelezwaji wa hukumu ya kuwanyonga hadi kufa, wafungwa waliopatikana na hatia ya kuwaua albino.

Akizungumza kabla ya kuhitimisha Mkutano Mkuu wa Kamati Kuu ya TAS, wiki hii mjini Dodoma, Mwenyekiti wa Tas – Taifa, Ernest Kimaya, alisema ombi hilo ni moja ya maazimio waliyoyafikia na yasipotekelezwa ndani ya miezi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani Kuwasaka Wauaji wa Forley

Ingawa waislam wenye msimamo mkali wametoa mkwara kwa Marekani endapo itazisha mashambulizi dhidi yao! basi watarajie msiba mpya.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete: Wauaji wa albino wasakwe

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amezungumzia hali ya usalama wa nchi, ikiwemo uvamizi wa vituo vya Polisi, uporaji wa silaha ulioambatana na vifo vya askari na kusema matukio hayo, baadhi yake yana dalili za ugaidi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani