MKUTANO WA MAJAJI WANAWAKE DUNIANI KUFANYIKA ARUSHA

Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA) kwa kushirikiana na Chama cha Majaji Wanawake Duniani (IAWJ) kitafanya Mkutano wake Mkuu wa 12 utakaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC), Arusha, Tanzania.
Mkutano huo wa Kimataifa ambao utashirikisha jumla ya Majaji Wanawake takribani 600 kutoka nchi mbalimbali duniani wakiongozwa na Rais wao ambaye ni Mtanzania, Mhe. Eusebia Munuo, Jaji wa Rufaa (Mstaafu), utaanza rasmi mnamo tarehe 05 Mei, 2014 na utafunguliwa na Mhe. Dr....
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
MKUTANO WA 12 WA MAJAJI WANAWAKE DUNIANI WAENDELEA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA KIMATAIFA (AICC) MKOANI ARUSHA
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
11 years ago
GPL
MAKAMU WA RAIS WA PILI WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALLI IDDI AHITIMISHA MKUTANO WA 12 WA CHAMA CHA MAJAJI WANAWAKE DUNIANI JIJINI ARUSHA
11 years ago
Michuzi.jpg)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ahitimisha Mkutano wa 12 wa Chama cha Majaji Wanawake Duniani jijini Arusha
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Michuzi
Rais Kikwete afungua mkutano wa Majaji Wanawake jijini Arusha leo


10 years ago
Michuzi
MKUTANO MKUU WA MWAKA WA MAJAJI WA MAHAKAMA TANZANIA WAENDELEA KUFANYIKA JIJINI MWANZA
Mkutano huo ulifunguliwa na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Dr.Asha Rose Migiro kwa niaba ya Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kauli Mbiu ya Mkutano wa Mwaka huu ni "KUJITATHMINI KAMA NJIA BORA YA KUIBORESHA MAHAKAMA".Pamoja na mambo mengine Mkutano wa Mwaka huu Wah. Majaji wamepata nafasi ya kujadili mambo...
10 years ago
Michuzi.jpeg)
MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KUFANYIKA MACHI 8, 2015
.jpeg)
Maadhimisho haya hutoa fursa kwa Taifa, mikoa, wilaya na wadau wengine kupima mafanikio yaliyopatikana katika kuwendeleza wanawake na...
10 years ago
GPLMKUTANO MKUU WA SABA WA CHAMA CHA MAJAJI WANAWAKE TANZANIA (TAWJA), WAFANYIKA JIJINI DAR
5 years ago
CCM Blog
MAJAJI 125 WA MABARA MANNE DUNIANI WAFANYA MKUTANO KWA NJIA YA MTANDAO KUJADILI UTOAJI HAKI KWA TEHAMA KUEPUKA MAAMBUKIZI YA CORONA

Na Magreth Kinabo-Mahakama
Majaji 125 kutoka katika mabara manne duniani wamefanya mkutano kwa njia ya mtandao kujadili jinsi ya kuendelea na shughuli za utoaji haki kwa kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kuepuka kuenea kwa maambukizi ya virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa homa ya mapafu (COVID 19).
Mkutano huo uliandaliwa na Shirika la Miliki Bunifu Duniani (WIPO) ambalo liko chini ya Umoja wa Mataifa (UN), uliofanyika Makao Makuu ya shirika hilo Geneva, kwa njia...
10 years ago
Michuzi26 Jun
MKUTANO MKUBWA WA AMANI NA UPENDO KUFANYIKA LEO JIJINI ARUSHA


