Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKUTANO WA 12 WA MAJAJI WANAWAKE DUNIANI WAENDELEA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA KIMATAIFA (AICC) MKOANI ARUSHA

 Mhe. Jaji Sanji Monageng ambaye ni Makamu wa Rais wa Mahakama ya Jinai ya Kimataifa (ICC) Botswana akitoa mada katika Mkutano wa Majaji Wanawake unaoendelea kufanyika katika UKUMBI wa (AICC) mkoani Arusha.  Mhe. Jaji Mstaafu Eusebia Munuo, Rais wa Chama cha Majaji Duniani (IAWJ) pamoja na wenzake wakifuatilia Mada katika Mkutano huo.  Wajumbe wa Mkutano huo wakifuatilia mada katika Mkutano huo mapema leo.  Wajumbe wa Mkutano huo wakifuatilia mada katika Mkutano huo mapema leo. Baadhi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA MAJAJI WANAWAKE DUNIANI KUFANYIKA ARUSHA

Chama cha Majaji Wanawake Tanzania (TAWJA) kwa kushirikiana na Chama cha Majaji Wanawake Duniani (IAWJ) kitafanya Mkutano wake Mkuu wa 12 utakaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC), Arusha, Tanzania. 
 Mkutano huo wa Kimataifa ambao utashirikisha jumla ya Majaji Wanawake takribani 600 kutoka nchi mbalimbali duniani wakiongozwa na Rais wao ambaye ni Mtanzania, Mhe. Eusebia Munuo, Jaji wa Rufaa (Mstaafu), utaanza rasmi mnamo tarehe 05 Mei, 2014 na utafunguliwa na Mhe. Dr....

 

11 years ago

Michuzi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ahitimisha Mkutano wa 12 wa Chama cha Majaji Wanawake Duniani jijini Arusha

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Mahakama ya Kimataifa Jaji Sanji Mmasenono Monageng Raia wa Jamuhuri ya Botswana akifurahia Tuzo Maalum aliyokabidhiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji Wanawake Duniani Jaji Eusebia Munuo kushoto yake kwenye Tafrija ya Wajumbe wa Mkutano huo iliyofanyika Mkoani Arusha.Pembeni yao kulia ni Mkurugenzi  Mkuu wa Chama cha Majaji Wanawake Duniani      { IAWJ } anayefanya kazi zake  Makuu ya Chama hicho Mjini Washington Marekani Jaji J. Winship.  Jaji Mkuu wa...

 

11 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS WA PILI WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALLI IDDI AHITIMISHA MKUTANO WA 12 WA CHAMA CHA MAJAJI WANAWAKE DUNIANI JIJINI ARUSHA

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Mahakama ya Kimataifa Jaji Sanji Mmasenono Monageng Raia wa Jamuhuri ya Botswana akifurahia Tuzo Maalum aliyokabidhiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji Wanawake Duniani Jaji Eusebia Munuo kushoto yake kwenye Tafrija ya Wajumbe wa Mkutano huo iliyofanyika Mkoani Arusha.Pembeni yao kulia ni Mkurugenzi  Mkuu wa Chama cha Majaji Wanawake Duniani    
Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Mohamed...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA TANO WA WADAU WA NSSF WAENDELEA LEO AICC, JIJINI ARUSHA

Mwenyekiti wa Kikao cha kwanza siku ya leo katika Mkutano wa tano wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya Shirika hilo, Magret Ikongo akiongoza kikao hicho leo, kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.Mkurugenzi wa Mipango,Uwekezaji na Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Yacoub Kidula akiwasilisha mada iliyohusu mambo ya Uwekezaji, kwenye Mkutano wa tano wa Wadau NSSF unaoendelea leo kwa siku ya...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI DKT. MAHIGA ATEMBELEA KITUO CHA MIKUTANO CHA KIMATAIFA CHA AICC JIJINI ARUSHA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushiriano wa Afrika Mashariki,Kanda na Kimataifa ,Balozi Augstine Mahiga amesema eneo la Laki Laki lililopo wilaya ya Arumeru mkoani Arusha lililotengwa kwaajili ya ujenzi wa taasisi za kimataifa utaifanya Tanzania kung'ara duniani.
Balozi Mahiga alisema hayo Desemba 19 baada ya kufanya ziara kwenye eneo hilo na Kituo cha mikutano cha kimataifa cha AICC .
Eneo hilo litajengwa Mahakama ya Kimataifa ya Kimbari(MICT)Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu(AfCHPR) na...

 

11 years ago

Bongo5

Bunge lakodi vipaza sauti kwa Tsh milioni 142 kutoka Ukumbi wa Mikutano wa AICC

Wakati kukiwa na malalamiko kwamba Bunge Maalum la Katiba linagharimu fedha nyingi za walipakodi, uongozi wa taasisi hiyo umetumia Sh142.56 milioni kukodi vipaza sauti kutoka Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC). Katibu wa Bunge Maalumu, Yahya Khamis Hamad alithibitisha kukodiwa kwa vipaza sauti hivyo kwa ajili ya kamati zote 12 na kwamba kila gharama […]

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA MASHAURIANO KUHUSU AMANI, UMOJA NA UTULIVU WA NCHI YETU KUFANYIKA KESHO UKUMBI WA MIKUTANO WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mkutano wa amani, umoja na utulivu wa nchi utakaofanyika kuanzia leo na kesho ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa, serikali, dini, asasi za kiraia na wazee. Kulia ni Msaidizi wa mkurugenzi huyo, Gallus Abedi na Ofisa Mipango, Edger Atubonekisye. Mkutano...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua mkutano wa Majaji Wanawake jijini Arusha leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Asha Rose Migiro,Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande,pamoja na Rais wa Chama Cha Kimataifa cha Majaji Wanawake wakiimbaq wimbo wa taifa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 12 wa chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Arusha AICC.Mkutano huo ulifunguliwa na Rais Kikwete. Baadhi ya majaji wanawake wanaoshiriki Mkutano wa 12 wa Chama Cha Kimataifa cha Majaji wanawake unaofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani