Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bunge lakodi vipaza sauti kwa Tsh milioni 142 kutoka Ukumbi wa Mikutano wa AICC

Wakati kukiwa na malalamiko kwamba Bunge Maalum la Katiba linagharimu fedha nyingi za walipakodi, uongozi wa taasisi hiyo umetumia Sh142.56 milioni kukodi vipaza sauti kutoka Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC). Katibu wa Bunge Maalumu, Yahya Khamis Hamad alithibitisha kukodiwa kwa vipaza sauti hivyo kwa ajili ya kamati zote 12 na kwamba kila gharama […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Bunge lakodi vipaza sauti kwa Sh8.9 milioni kila siku

>Wakati kukiwa na malalamiko kwamba Bunge la Maalumu la Katiba linagharimu fedha nyingi za walipakodi, uongozi wa taasisi hiyo umetumia Sh142.56 milioni kukodi vipaza sauti kutoka Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC).

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA 12 WA MAJAJI WANAWAKE DUNIANI WAENDELEA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA KIMATAIFA (AICC) MKOANI ARUSHA

 Mhe. Jaji Sanji Monageng ambaye ni Makamu wa Rais wa Mahakama ya Jinai ya Kimataifa (ICC) Botswana akitoa mada katika Mkutano wa Majaji Wanawake unaoendelea kufanyika katika UKUMBI wa (AICC) mkoani Arusha.  Mhe. Jaji Mstaafu Eusebia Munuo, Rais wa Chama cha Majaji Duniani (IAWJ) pamoja na wenzake wakifuatilia Mada katika Mkutano huo.  Wajumbe wa Mkutano huo wakifuatilia mada katika Mkutano huo mapema leo.  Wajumbe wa Mkutano huo wakifuatilia mada katika Mkutano huo mapema leo. Baadhi...

 

10 years ago

GPL

MBUNGE FILIKUNJOME ATIMIZA PIA AHADI YA UJENZI WA DARAJA MTO KITEWAKA KWA TSH MILIONI 248, ASAIDIA VIFAA VYA UJENZI KWA TSH MILIONI 248

 Mbunge  Filikunjombe akilitazama daraja la mbao la mto Kitewaka ambalo litajengwa  kisasa 
 Wannchi  wa  kijiji  cha Maholong'wa  wakimpongeza  mbunge  Filikunjombe kwa kutimiza ahadi yake…

 

9 years ago

Michuzi

Taswira kutoka kutoka Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere

 Makamu Mwenyekiti Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Hamid M. Hamid (wa pili kushoto) akisoma matokeo ya wagombea nafasi ya Urais leo jijini Dar es Salaam katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu,anayemfuata kulia ni Mwenyekiti  wa Tume Jaji  Mstaafu Mhe. Damian Lubuva na Mkurugenzi wa Uchaguzi Mhe. Kailima Ramadhani Baadhi ya waandishi wa Habari wa Ndani na  Nje ya nchi wakifuatilia zoezi la kutangazwa kwa matokeo ya wagombea Urais  katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu  leo...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA UKUMBI WA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

 Mwenyekiti wa Muda wa Bunge la Katiba,Mh. Pandu Kificho akisisitiza jambo wakati wa Kikao cha Bunge hilo,kinachoendelea leo kwenye Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.  Wajumbe wa Bunge la Katiba,Mh. Tundu Lissu na Mh. Jussa wakibadilishana mawazo wakati wa kikao cha Bunge la Katiba kinachoendelea leo Mjini Dodoma.  Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Edward Lowassa akifatilia kwa makini mjadala wa Bunge hilo,mjini Dodoma leo.  Mh. Anne Makinda akichangia Mapendekezo ya Rasimu ya Kanuni...

 

11 years ago

Michuzi

IPTL yatoa Tsh milioni 20 kwa RT kusaidia maandalizi ya mashindano ya riadha ya kitaifa

 Makamu wa Rais-Utawala wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) William Kallaghe (wapili kushoto) akipokea sehemu ya fedha taslim Tsh milioni 20 zilizotolewa na kampuni ya ufuaji umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) kusaidia maandalizi ya mashindano ya mwaka huu ya Riadha ya Kitaifa yatakayoanza leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaaam. Kulia ni Katibu na Mwanasheria Mkuu wa IPTL/ Pan African Power Solutions (PAP), Bw. Joseph Makandege, akifuatiwa na Msaidizi wa kampuni...

 

5 years ago

CCM Blog

BUNGE LIMERIDHIA NA KUPITISHA TSH. BILIONI 40 KWA WIZARA YA HABARI, SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021

Na.Faustine Gimu Galafoni ,Dodoma.Katika  kutekeleza majukumu ya Wizara kwa mwaka 2020/21 Bunge limeridhia  na kuidhinisha Bajeti ya Wizara ya Habari ,Sanaa,Utamaduni na Michezo  kwa mwaka 2020/21 ya jumla ya Shilingi Bilioni Arobaini, Milioni Mia Moja Arobaini, Mia Sita Arobaini na Moja Elfu (Sh. 40,140,641,000).

Akiwasilisha  hotuba ya Madirio na Matumizi  ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2020/2021      Bungeni jijini Dodoma leo April 22,2020 Waziri Wa Habari,Sanaa ,Utamaduni na Michezo...

 

11 years ago

Michuzi

UKUMBI WA BUNGE LA KATIBA: Sekretarieti ya Bunge la Katiba kukabidhiwa Ukumbi Jumatano

Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akijaribu mojawapo ya viti vipya vilivyofungwa katika ukumbi wa Bunge tayari kwa ajiri ya Matumizi wakati wa Bunge la Katiba. Mhe. Makinda aliongoza ujumbe wa Tume ya Utumishi wa Bnge kufanya ukaguzi wa mwisho kabla ukumbi huo haujakabidhiwa kwa Sekretariat ya Bunge la Katiba Jumatano wiki hii. Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akiwa na wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge kukagua ukumbi huo. Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda, (katikati) Naibu Spika Mhe....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani