BUNGE LIMERIDHIA NA KUPITISHA TSH. BILIONI 40 KWA WIZARA YA HABARI, SANAA, UTAMADUNI NA MICHEZO KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021

Na.Faustine Gimu Galafoni ,Dodoma.Katika kutekeleza majukumu ya Wizara kwa mwaka 2020/21 Bunge limeridhia na kuidhinisha Bajeti ya Wizara ya Habari ,Sanaa,Utamaduni na Michezo kwa mwaka 2020/21 ya jumla ya Shilingi Bilioni Arobaini, Milioni Mia Moja Arobaini, Mia Sita Arobaini na Moja Elfu (Sh. 40,140,641,000).
Akiwasilisha hotuba ya Madirio na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2020/2021 Bungeni jijini Dodoma leo April 22,2020 Waziri Wa Habari,Sanaa ,Utamaduni na Michezo...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog
BUNGE LAPITISHA MAKADIRIO YA WIZARA YA MADINI KWA MWAKA WA FEDHA 2020/2021

Akiwasilisha Bungeni jijini Dodoma April 21 ,2020 hotuba ya Makadirio Ya Mapato na Matumizi Ya Fedha Kwa Mwaka 2020/2021 Waziri wa Madini Mhe.Doto Mashaka Biteko alisema Mchanganuo wa Bajeti hiyo ni kama ifuatavyo:-
(i)Bajeti ya Maendeleo ni shilingi 8,500,000,000....
9 years ago
Michuzi
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura atembelea Idara ya habari


5 years ago
Michuzi
BILIONI 9.5 YAONGEZEKA BAJETI YA WIZARA YA HABARI 2020/2021


Mbunge wa Chemba Juma Nkamia akichagangia hoja wakati wa kujadili bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2020/2021.

Wabunge wakiendelea na mjadala wa bajeti ya bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2020/2021.
9 years ago
Dewji Blog17 Dec
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ahaidi kusimamia kazi za Wasanii kwa nguvu zote
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akiongea na wadau mbalimbali kutoka BASATA,COSOTA,BODI YA FILAMU,CMEA NA WASANII jana jijini Dar es Salaam juu ya kuendelea kusimamia haki ya wasanii na kuhakikisha kila msanii anapata anachostahili kupitia Sanaa yake na kwamba serikali imeweka nguvu kubwa katika eneo hilo.
Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage (kulia) akiongea waandishi wa habari kuhusu vyombo vya habari(television na Redio) kuanza kulipia...
9 years ago
Michuzi
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo ampongeza Mbwana Samatta kwa kujiunga na klabu ya Genk ya Ubelgiji


10 years ago
Michuzi
TCRA YATOA ELIMU KWA MENEJIMENTI YA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO


9 years ago
Michuzi
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo yapongezwa kwa ushikiano inaotoa kwa wadau wa Vijana


10 years ago
Michuzi
Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na michezo yahitimisha mafunzo kwa kutembelea miradi mbalimbali wilaya ya Nzega

5 years ago
Michuzi
HOTUBA YA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MHE. INNOCENT L. BASHUNGWA (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2020/2021
WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA
HOTUBA FUPI (TALKING NOTES) YA WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA MHE. INNOCENT L. BASHUNGWA (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2020/2021
Dodoma Mei 05, 2020

Mheshimiwa Spika; kutokana na taarifa iliyowasilishwa leo hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10