Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKULIMA KUKUTANISHWA NA TAASISI ZA KIFEDHA KWA AJILI YA MAFUNZO

Mkurugenzi wa Tanzania Horticulture Association (TAHA),Bi. Jackline Mkindi (wa pili kulia) akizungumza na vyombo vya habari ambao hawapo pichani juu ya maonesho ya kilimo ambao yanatarijiwa kufanyika siku ya Aprili 25 na 26 katika viwanja vya AVRDC vilivyopo eneo la Tengeru wilayani Arumeru mkoani Arusha.kulia kwake ni Mratibu wa Agri-Hub Tanzania Bw. Tom Ole Sikar.
Na Woinde Shizza,Arusha
WAKULIMA na wafanyabiashara za kilimo zaidi ya 500 kanda ya kaskazini mwa Tanzania wanatarajiwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Taasisi ya DYCCC na AlHikma Foundation wakabidhi vifaa vya PPE kwa Taasisi ya JAI kwa ajili ya kuzikia

Taasisi za DYCCC na Alhikma Foundation kwa kushirikiana na Taasisi zingine 7 wameweza kutoa msaada wa vifaa mbali mbali vya kuzikia leo tarehe 09 May 2020. Hii ilifuatia na mafunzo ya namna ya kuhudumia na kuzika maiti iliyotolewa na wataalam wa maziko. Makabidhiano haya yamefanyika katika viwanja vya Makaburi ya Kisutu mjini Dar Es Salaam.



 

10 years ago

Vijimambo

TAASISI YA KIFEDHA YA BAYPORT YAKABIDHI HUNDI YA MIL 3 KWA WATEGEMEZI WA FAO LA ELIMU MKOANI MBEYA

Mratibu Mratibu wa Bima ya Elimu kwa Uwapendao kutoka Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, Ruth Bura, akizungumza na baadhi ya watumishi wa shule ya sekondari Jamsi Sangu (hawapo pichani ) juu ya namna ya kujiunga na fao hilo kabla ya kufanyika kwa zoezi la makabidhiano ya hundi kwa Jaqline Ndyamkama ambaye ni mwanafunzi wa shule hiyo yenye thamani ya Tsh 3,000,000, baada ya mzazi wake ambaye alikuwa mteja wa taasisi hiyo kufariki dunia., (Picha zote Emanuel Madafa Jamiimoja...

 

10 years ago

Michuzi

TASAF YAANZA MAFUNZO KWA WATAALAMU WA KISEKTA KWA AJILI YA UIBUAJI MIRADI KWA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI

Mfuko wa Maendeleo ya jamii TASAF umeanza kuwajengea uwezo wataalamu ngazi ya Kata kutoka mamlaka nane za utekelezaji wa mpango wa Kunusuru Kaya Maskini na kuwawezesha walengwa wa Mpango wa kunusuru kaya masini kuibua miradi inayoweza kutekelezeka ndani ya kipindi kifupi katika mpango wa miradi ya ajira kwa walengwa (Public Works Project kwa lengo la kuwaongezea kipato).
Akifungua warsha ya kuwajengea uwezo wataalamu hao mjini Bagamoyo mkoani Pwani, Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF, Bwana...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Muswada wa taasisi za kifedha waja


NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amesema serikali itapeleka bungeni  muswada wa sheria ambao utawawezesha wananchi kuanzisha taasisi za kifedha.
Mwigulu alisema hayo jana bungeni mjini Dodoma wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Igunga, Dk. Dalaly Kafumu, aliyetaka kujua lini serikali itawawezesha wakazi wa Igunga kuanzisha  taasisi za kifedha.Mwigulu alisema muswada huo utaandaliwa na kupelekwa bungeni wakati wowote kuanzia sasa.Katika swali la msingi, Dk. Kafumu alitaka...

 

10 years ago

Vijimambo

TAASISI YA KILAWA ENTERPRISES YAJIKITA KUTOA ELIMU KWA WAKULIMA

Afisa Masoko wa Kilawa Enterprises, Award Mpandila akitoa maelekezo kwa wakulima waliotembelea banda lao.Afisa Masoko wa Kilawa Enterprises, Award Mpandila akigawa vipeperushi kwa wakulima waliotembelea banda lao.Mkulima Japhet Kihupi akitoa maelezo kwa wakulima wenzake waliofika kutembelea shamba darasa linalosimamiwa na Kilawa Enterprises.Mkurugenzi wa Kilawa Enterprises, Tito Tweve akifuatilia kwa makini mafunzo ya wakulima katika shamba darasa.Mtaalam wa kilimo cha Mpunga, Sabiti Njovu...

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya CRDB yaichangia Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete sh. milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Prof. Mohamed Janabi mfano wa hundi ya shilingi milioni 50 kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto wanaotibiwa katika Taasisi hiyo, ikiwa ni kukamilisha ahadi yake ya kuchangia kiasi cha shilingi milioni 100 ili ziweze kufanikisha upasuaji wa moyo kwa watoto, makabidhaino hayo yamefanyika leo kwenye Taasisi hiyo,  jijini Dar es salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Asilimia 97 ya walimu wanakopa taasisi za kifedha

IMEELEZWA kuwa asilimia 97 ya walimu Tanzania wanakopa katika taasisi mbalimbali za kifedha zinazotoa riba kubwa na kusababisha maisha yao kuwa duni. Utafiti uliofanywa na taasisi inayoshughuka na Utafiti na...

 

10 years ago

Michuzi

Taasisi za kifedha zashauri kupunguza riba

Dkt Mary Nagu Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji akiongea kwenye kongamano la uwekezaji kwa mikoa ya ukanda wa ziwa Tanganyika lililofanyika mjini sumbawanga mwishoni mwa wiki. hawapo pichani washiriki wa kongamano hilo Washiriki wa kongamano la uwekezaji ambao ni wawekezaji kutoka ndani na nje ya nchi wakifuatilia kwa umakini mjadala wa kongamano hilo kwenye uwanja wa Nelsoni Mandela Mjini Sumbanga Mkoani Rukwa.
Na Kibada Kibada Rukwa.
Waziri wa Uwekezaji na uwezeshaji Dkt Mary Nagu ...

 

11 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Apokea magari mawili kwa ajili ya mafunzo ya udereva

 Mkurugenzi wa Mradi ya Usalama Barabarani wa Shirika la Transaid la Nchini Uingereza, Mr. Neil Rettie (mwenye tai ya blue) akimkabidhi funguo za gari aina ya Iveco kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt Shaaban Mwinjaka kwa ajili ya mafunzo ya Udereva yanayotolewa na Chuo Cha Taifa Cha Usafirhsaji (NIT), Hafla hiyo ilifanyika katika viwanja vya chuo hicho leo Asubuhi.  Taswira ya tanker trailer la futi 40 na Folk Liftambayo yamekabidhiwa kwa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani