Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Apokea magari mawili kwa ajili ya mafunzo ya udereva
![](http://3.bp.blogspot.com/-RrzEHjYQkOY/Ux2avEBpzRI/AAAAAAAFSpY/0hRP1G7BvN0/s72-c/unnamed+(24).jpg)
Mkurugenzi wa Mradi ya Usalama Barabarani wa Shirika la Transaid la Nchini Uingereza, Mr. Neil Rettie (mwenye tai ya blue) akimkabidhi funguo za gari aina ya Iveco kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dkt Shaaban Mwinjaka kwa ajili ya mafunzo ya Udereva yanayotolewa na Chuo Cha Taifa Cha Usafirhsaji (NIT), Hafla hiyo ilifanyika katika viwanja vya chuo hicho leo Asubuhi.
Taswira ya tanker trailer la futi 40 na Folk Liftambayo yamekabidhiwa kwa Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji (NIT) na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI APOKEA MAGARI MAWILI KUTOKA KAMPUNI YA TRANSAID YA NCHINI UINGEREZA KWA AJILI YA MAFUNZO KWA VITENDO KWA WANAFUNZI WANAOSOMA KOZI YA UDEREVA KATIKA CHUO CHA TAIFA CHA USARIFISHAJI (NIT)
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI APOKEA MABEHEWA 50 YA KUBEBEA MAKASHA CHINI YA MPANGO WA MATOKEO MAKUBWA SASA (BRN)
9 years ago
Dewji Blog02 Dec
Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi afanya ziara TRL!!
Katibu mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Bw. Shabani Mwinjaka akiongea na waandishi wa habari alipofanya ziara yake katika shirika la reli Tanzania (TRL) leo jijini Dar es salaam.
Na Ally Daud-Maelezo
[DAR ES SALAAM] Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Shabani Mwinjaka amefanya ziara katika Shirika la Reli Tanzania (TRL) ili kuhakikisha ufanyaji kazi wa shirika hilo linaendana na kasi ya Rais wa awamu ya tano Mh. John Pombe Magufuli.
Katika ziara hiyo Bw. Mwinjuko alikagua karakana za shirika hilo...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-XZBCUHwa8l8/VCVshdU-bNI/AAAAAAAGl_M/4TeekhEAHUA/s72-c/unnamed%2B(36).jpg)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi akutana na Ujumbe wa Ubalozi wa Uholanzi
![](http://2.bp.blogspot.com/-XZBCUHwa8l8/VCVshdU-bNI/AAAAAAAGl_M/4TeekhEAHUA/s1600/unnamed%2B(36).jpg)
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI, MWINJAKA AZINDUA BODI (RAHCO).
11 years ago
Dewji Blog15 May
Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga( ICAO) atembelea Wizara ya Uchukuzi
Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe akiongea na Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin baada ya kutembelea katika ofisi za wizara ya uchukuzi jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Shirika la Usafiri wa Anga( ICAO) yupo nchini kwa ziara ya kikazi kuanzaia Tarehe 14 hadi 18 mei 2014.
KARIBU MGENI MWENYEJI ASHIBE ; Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe akimkaribisha Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) Raymond Benjamin,...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI, SHAABAN MWINJAKA ATEMBELA MAONYESHO YA WIKI YA MAZINGIRA TANGA.
9 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA WIZARA YA UCHUKUZI ATEMBELEA KIWANDA CHA KUTENGENEZEA BREAKPAD ZA VICHWA VYA TRENI
10 years ago
MichuziNAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA UCHUKUZI AZINDUA BARAZA LA WATUMIAJI WA USAFIRI WA ANGA HAPA NCHINI