Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakutana kujadili ujenzi wa Gaza

Wawakilishi wa zaidi ya nchi 50 wanakutana mjini Cairo hii leo kwa mkutano kuhusu kulijenga upya eneo la Gaza

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mawaziri wa Nato wakutana kujadili Urusi

Mawaziri wa ulinzi wa mataifa ya Nato wanakutana leo kujadili mashambulio yanayotekelezwa na Urusi nchini Syria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Cheza Kidansi wakutana kujadili muziki wa dansi

WADAU wa muziki wa dansi wanaotokea katika mkusanyiko unaojulikana kama Cheza Kidansi, juzi walifanya kikao cha kwanza na kuazimia mpango wao kuwawezesha wanamuziki wa muziki huo na kuwakwamua kiuchumi. Kikao...

 

10 years ago

Michuzi

WADAU WAKUTANA KUJADILI MIKAKATI YA OFISI YA CAG


 Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ,Jasper Mero akizungumza katika mkutano wa Wadau wa Kujadili mpango mkakati wa  miaka mitano wa ofisi ya CAG uliofanyika leo jijini Dar es Salaam Kaimu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ,Jasper Mero  (mwenye tai katikat)akiwa katika picha ya pamoja na wadau kujadili mpango mkakati wa miaka mitano wa ofisi ya CAG uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Na Chalila Kibuda,Globu ya Jami. Imeelezwa kuwa kufikia mlaengo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wakutana kujadili mkakati wa mradi wa kijiji cha digitali

DSC_0113

Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph, akiwasilisha mada ya mchanganuo wa ufumbi wa changamoto mbalimbali katika utekelezaji wa mradi wa kijiji cha kidigitali.

Na Mwandishi wetu, Bagamoyo

WADAU mbalimbali wa elimu, afya, Tehama na masuala ya utamaduni na uchumi ambao  wamo katika mradi wa kijiji cha dijiti cha Ololosokwan kilichopo wilayani Monduli Arusha wanakutana kwa warsha ya wiki moja ikiwa...

 

9 years ago

GPL

WADAU WAKUTANA KUJADILI RIPOTI YA MABADILIKO YA TABIANCHI‏

Mwenyekiti wa bodi ya Forum CC, Euster Kibona akifungua semina ya kujadili ripoti ya matumizi ya fedha za misaada hasa kwenye mabadiliko ya tabianchi iliyofanyika leo  jijini Dar   Mratibu wa Forum CC, Rebecca Muna akitoa maelezo kuhusu Forum CC kwenye semina na wadau wa mazingira waliofika kujadili changamoto za bajeti ya mabadiliko ya tabianchi ambayo imewashirikisha baadhi ya wadau wa mazingira...

 

9 years ago

StarTV

Uongozi mkoa wa Shinyanga, wadau wakutana kujadili suala la amani.

Uongozi wa mkoa wa Shinyanga umekutana na wadau mbalimbali pamoja na kamati ya ulinzi na usalama mkoa kujadili ushirikiano wa kudumisha amani katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika jumapili hii Oktoba 25.

Ajenda kuu ya kikao hiki ni ulinzi na usalama katika kipindi cha uchaguzi mkuu hususani ulinzi wa mtoto.

Kamati ya ulinzi na usalama chini ya mkuu wa mkoa kwa kushirikiana na shirika la kutetea haki za watoto la Save the children imeandaa kikao maalum kwa lengo la...

 

5 years ago

Michuzi

MAWAZIRI WA AFYA SADC WAKUTANA DAR KUJADILI UGONJWA WA CORONA


Na Said Mwishehe,Michuzi Blog ya jamii
MAWAZIRI wa sekta ya afya kutoka nchi 16 za Jumuiya ya Nchi za Maendeleo ya Kusini mwa Afrika( SADC) wamekutana jijini Dar es Salaam huku ajenda kuu kwa siku ya leo Machi 9 mwaka 2020 ikiwa ni kujadili mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Corona duniani.
Ugonjwa huo ambao uligundulika mwaka jana nchini China katika Jiji la Wuhan lililopo Jimbo la Hubei na kupewa jina la COVID-19, hadi kufikia jana umeshaua zaidi ya watu 3,800 duniani huku 100,008 wakiwa...

 

10 years ago

GPL

WAKUTANA KUJADILI MKAKATI WA MRADI WA KIJIJI CHA DIGITALI‏

Ofisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini, Al Amin Yusuph, akiwasilisha mada ya mchanganuo wa ufumbi wa changamoto mbalimbali katika utekelezaji wa mradi wa kijiji cha kidigitali. Na Mwandishi wetu, Bagamoyo WADAU mbalimbali wa elimu, afya, Tehama na masuala ya utamaduni na uchumi ambao wamo katika mradi wa kijiji cha dijiti cha Ololosokwan kilichopo...

 

10 years ago

Michuzi

Viongozi Watendaji wa Serikali wakutana kujadili mifumo ya ufuatiliaji na tathmini

Mkutano wa faragha wa Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala wa Mikoa umeandaliwa na ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi ikishirikiana na UONGOZI Institute yenye lengo kuu ya viongozi hawa kujadiliana kuhusu mada kuu ya Mifumo ya Ufuatiliaji na Tathmin, pamoja na maswala mbali mbali za kitaifa. Mkutano huu wa siku mbili ulifanyika tarehe 27-28 Oktoba, 2014 mjini Dodoma.
“Napenda kuishukuru sana Taasisi ya Uongozi, na Mtendaji wake Mkuu, Prof. Joseph Semboja, kwa mchango wao mkubwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani