Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKUU WA IDHAA VOA WAHUDHURIA KONGAMANO DRC

 Kutoka kushoto ni Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya Voice of Amerika (VOA) Dr. Hamza Mwamoyo, Mkuu wa Idhaa ya Kifaransa VOA Bwn.Jeremy Groce na mtangazaji wa VOA Idrissa Fall wote kwa pamoja wakihudhuria kongamano mji wa Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya CongoMkuu wa Idhaa ya Kiswahili VOA, Dr. Hamza Mwamoyo katika picha ya pamoja na Balozi wa Marekani DRC Mhe. James Swan kwenye hafla fupi baada ya kongamano hilo kuhitimisha

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Audio: Makala ya afya ya ‘Je Nifanyeje’ ya Sauti ya Amerika (VOA) idhaa ya Kiswahili

Je Nifanyeje ni kipindi cha afya cha dakika 30 kinachorushwa na radio washirika wa Voice Of America, Idhaa ya Kiswahili chini ya udhamini washirika la misaada ya watu wa Marekani USAID. Lengo la kipindi ni kuwawezesha vijana hususan wasichana kuweza kufanya maamuzi yao yenyewe ya kiafya na kijamii ili kuweza kufikia ndoto zao. Kipindi kinasikika […]

 

9 years ago

Vijimambo

TIMU YA VOA YAHUDHURIA KONGAMANO LA MTANDAO JIJINI DAR

Timu ya Voice of America (VOA) wakiwa katika picha ya pamoja kwenye hotel ya Serena jijini Dar es Salaam kwenye kongamano la mtandao siku ya Jumanne Aug 25, 2015.

 

10 years ago

Vijimambo

VOA YAZINDUA MATANGAZO YA ALASIRI VOA EXPRESS.

IMG_5776utoka kushoto waliosimama ni Producer Dwayne Collins, Engineer Zaynab, Sunday Shomari na Harrison Kamau na waliokaa kutoka kushoto ni Idd Ligongo, Esther Githui Ewart, Mary Mgawe na mkuu wa idhaa ya Kiswahili Mwamoyo Hamza. IMG_5781 Timu ya VOA EXPRESS iliyofungua matangazo ya kwanza ya Alasiri saa za Afrika Mashariki saa 10.30 Jumatatu hadi Ijumaa Oktoba 27,2014. Kutoka kushoto Mary Mgawe, Idd Ligongo ,Sunday Shomari, Esther Githui Ewart, Khadija Riyami, Dwayne Collins, Mkuu wa idhaa Mwamoyo Hamza...

 

9 years ago

Global Publishers

Rais Magufuli ateua Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wa Wizara

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI​

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali. Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;
1. Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi – Ombeni Sefue

2. Katibu Mkuu Ikulu Peter Ilomo

3. Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora
Dkt. Laurian Ndumbaro

4. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Mhandisi Mussa Iyombe (Katibu Mkuu)
Dkt. Deo Mtasiwa (Naibu Katibu Mkuu –...

 

9 years ago

Michuzi

JK ATEUA MAKATIBU WAKUU WANNE NA MANAIBU KATIBU WAKUU WATANO WAPYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa  Ijumaa, Oktoba 23, 2015, amewateua Makatibu Wakuu wanne wapya wa wizara mbali mbali. Aidha, Rais Kikwete amewateua Naibu Makatibu Wakuu wapya watano, amewateua Makatibu Tawala wa Mikoa wawili na pia amewahamisha Naibu Makatibu Wakuu wawili. Kwa mujibu wa uteuzi huo, Rais Kikwete amemteua Ndugu Hab Mkwizu kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma; Profesa Elisante Ole Gabriel kuwa Katibu...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AWAPONGEZA MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU

WAZIRI MKUU  Mhe. Kassim Majaliwa amewapongeza Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu, mara baada ya kuapishwa Ikulu  jijini Dar es Salaam leo. Ametoa pongezi hizo wakati Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu wakiwa wametia saini hati ya ahadi ya uadilifu kwa viongozi wa umma mbele ya waandishi wa habari.Mhe. Majaliwa pia amewataka viongozi hao, kuwa waaminifu, kuwajibika na  kutoa taarifa ya utendaji kwa wananchi. Aidha, alisema kuwa, viongozi wengine watakao apa mbele ya Kamishna wa Tume ya...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DK. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA 28 NIMR NA KONGAMANO LA WANASAYANSI WATAFITI LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionesha vitabu  vya Mpango wa Mkakati wa Nne wa Utafiti Bora wa Afya alivyovizindua leo. Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilali akimkabidhi tuzo ya Mwanasayansi Bora wa mwaka kitaifa wa masuala ya afya, kwa Dk. Steven Magesa (kulia) wakati wa mkutano Mkuu wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu Tanzania (NIMR) na kongamano na Wanasayansi wataifi ulioanza jana Dar es Salaam. Katikati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani