Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakuu wa nchi kujadili ebola

KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban –Kin moon leo anafungua mkutano mkubwa na viongozi wa nchi mbalimbali duniani kuhusu ugonjwa wa ebola, mkutano unaolenga kutafuta suluhu ya pamoja ya jinsi ya kukabiliana na ugonjwa huo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika kufanyika Agosti 29, jijini Dar

Mheshimiwa Dk. Binilith Mahenge Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira ametoa rai kwa Wananchi wa Tanzania na Afrika kwa ujumla kuweka juhudi katika kupambana na changamoto za mabadiliko ya Tabia Nchi.
Alitoa rai hiyo alipokuwa akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar-es-salaam kuhusu mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi utakaofanyika jijini Dar-es -salaam katika ukumbi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Wakuu wa mikoa kujadili ajira nchini

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka.KONGAMANO la wakuu wa mikoa kuhusu ajira linatarajiwa kufanyika kwa siku mbili mkoani hapa kuanzia leo likishirikisha watu zaidi ya 200, imefahamika.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais aitisha kikao cha wakuu wa EAC kujadili Burundi

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, ameitisha mkutano wa wakuu wenzake wa nchi hizo tano wa EAC, Jumatano ijayo, Mei 13, 2015,  kujadili hali ilivyo katika Burundi, kwa kadri nchi hiyo inavyojiandaa kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu Juni 26, mwaka huu.

Rais Kikwete ametangaza habari ya kuitisha mkutano huo wakati alipozungumza na waandishi wa habari katika Makao...

 

10 years ago

GPL

VIONGOZI WAKUU EAC KUJADILI MGOGORO WA BURUNDI DAR ES SALAAM

William Samoei Ruto, Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wakuu wenzie wa EAC wakisimama kwa wimbo wa Mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Waziri wa Mashauri ya Kigeni na Ushirikiano wa Kimataifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa, wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanatarajiwa kukutana hivi karibuni kwa ajili ya kujadili mgogoro wa kisiasa unaoikabili Burundi. Mh. Benard Membe ambaye ni kiongozi wa ujumbe wa...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAWAKUTANISHA WAKUU WA VYUO KUJADILI NAMNA YA KUMALIZA MITAALA

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewakutanisha Wakuu wa Vyuo Vikuu vyote  nchini  kwa lengo la kuweka mkakati wa pamoja wa namna ya kufikia malengo ya ufundishaji na ukamilishaji wa Mitaala pindi Vyuo vitakapofunguliwa Juni 1, 2020.

Akifungua kikao hicho Katibu Mkuu wa Wizara Ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt. Leonard Akwilapo amesema pamoja na mambo mengine  watakubaliana namna bora ya kuhakikisha vyuo vinafidia muda wa masomo uliopotea na kukamilisha mihula bila kuathiri...

 

10 years ago

GPL

MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA NA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE KUTOKA NCHI ZA KAMATI YA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA KUFANYIKA JIJINI DAR

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais –Mazingira Mh. Dk. Eng. Binilith Satano Mahenge, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam, kuhusu mkutano wa Mawaziri wa Mazingira na Mawaziri wa Mambo ya Nje kutoka nchi za kamati ya wakuu wa nchi za Afrika utakaofanyika jijini Dar-es -salaam katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Julius Nyerere Tarehe 29 Agosti 2014.… ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Nchi 17 kujadili tatizo la wahamiaji

Viongozi wa nchi 17 Ulimwenguni wanakutana mjini Bangkok nchini Thailand kutafuta mbinu bora za kukabiliana na tatizo linalozidi kuongezeka la wahamiaji haramu.

 

11 years ago

Habarileo

Mawaziri SADC kujadili Ebola

MAWAZIRI wa Afya na wadau wengine wa afya wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi zilizo Kusini mwa Afrika (SADC), leo wanakutana kwenye mkutano wa dharura kuzungumzia hatua za kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wataalam wa afya kujadili Ebola

Wataalam wa afya wanakutana mjini London, Uingereza kujadili ugonjwa wa Ebola ulioua zaidi ya watu elfu nane Afrika magharibi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani