Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nchi 17 kujadili tatizo la wahamiaji

Viongozi wa nchi 17 Ulimwenguni wanakutana mjini Bangkok nchini Thailand kutafuta mbinu bora za kukabiliana na tatizo linalozidi kuongezeka la wahamiaji haramu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Umoja wa Ulaya na tatizo la wahamiaji

Viongozi wa Ufaransa na Ujerumani wamezitaka nchi za Umoja wa Ulaya kufanya kazi pamoja kuweza kukabiliana na tatizo la wahamiaji.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wahamiaji : nchi za ulaya zakosolewa

Waziri wa mashauri ya kigeni nchini Ufaransa ameelezea hisia za nchi za ulaya dhidi ya suala la uhamiji kuwa sawa na sakata.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nchi za Ulaya zatakiwa kuokoa wahamiaji

Naibu waziri wa ulinzi nchini Ugiriki amezitaka nchi za kaskazini mwa bara Ulaya kuwaokoa wahamiaji kutoka baharini.

 

10 years ago

Vijimambo

HUDUMA YA GOOD NEWS FOR ALL MINISTRY YAOMBA KUWEPO MJADALA WA WAZI KUJADILI TATIZO LA ULEVI NCHINI

 Askofu Charles Gadi wa Huduma ya Good News for All Ministry   Askofu Charles Gadi wa Huduma ya Good News for All Ministry (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu kuongezeka kwa joto duniani na athari zake pamoja na tatizo la ulevi nchini ambapo kanisa hilo limeshauri kuwepo na mjadala wa wazi kujadili jambo hilo. Kutoka kushoto ni Mchungaji, Martin Ndaki na Katibu wa huduma hiyo, Palemo Massawe. Mchungaji Fabian Msimbe akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni...

 

10 years ago

Habarileo

Wakuu wa nchi kujadili ebola

KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban –Kin moon leo anafungua mkutano mkubwa na viongozi wa nchi mbalimbali duniani kuhusu ugonjwa wa ebola, mkutano unaolenga kutafuta suluhu ya pamoja ya jinsi ya kukabiliana na ugonjwa huo.

 

10 years ago

GPL

HUDUMA YA GOOD NEWS FOR ALL MINISTRY YAOMBA KUWEPO MJADALA WA WAZI KUJADILI TATIZO LA ULEVI NCHINI‏

Askofu Charles Gadi wa Huduma ya Good News for All Ministry    Askofu Charles Gadi wa Huduma ya Good News for All Ministry (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu kuongezeka kwa joto duniani na athari zake pamoja na tatizo la ulevi nchini ambapo kanisa hilo limeshauri kuwepo na mjadala wa wazi kujadili jambo hilo. Kutoka kushoto ni Mchungaji, Martin Ndaki na Katibu wa huduma hiyo, Palemo...

 

10 years ago

Habarileo

‘Kuna ongezeko la wahamiaji haramu nchi za Maziwa Makuu’

LICHA ya kuendeshwa kwa Operesheni Kimbunga ili kuondoa wahamiaji haramu waliokuwa wakiishi nchini isivyo halali, imebainika kuwa kumekuwa na ongezeko kubwa la wahamiaji haramu kutoka nchi za Maziwa Makuu baada ya wengi wa walioondolewa katika operesheni hiyo kurejea nchini kimya kimya bila ya kukamilisha taratibu za kuishi nchini.

 

10 years ago

GPL

WANAHABARI NA WAMILIKI WA VYOMBO VYA HABARI WA EAC WAKUTANA KUJADILI CHANGAMOTO ZA NCHI ZAO

 Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufungua kongamano la kujadili mchango wa vyombo vya habari katika kuimarisha demokarasia na mambo mbalimbali yanayogusa jumuiya hiyo Dar es Salaam leo  Mwenyekiti wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Felix Mosha akizungumza katika kongamano hilo.… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanahabari na wamiliki wa vyombo vya habari wa EAC wakutana Dar kujadili changamoto za nchi zao

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufungua kongamano la kujadili mchango wa vyombo vya habari katika kuimarisha demokarasia na mambo mbalimbali yanayogusa jumuiya hiyo Dar es Salaam jana.

Mwenyekiti wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Felix Mosha akizungumza katika kongamano hilo.

Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga, akizungumza katika kongamano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani