Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakuu wa polisi wafutwa kazi- Lamu,Kenya

Polisi nchini Kenya imefanya mabadiliko ya dharura katika Kaunti ya Lamu, kutokana na mashambulio yaliyosababisha vifo vya watu 60

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Ufisadi:Polisi 63 wafutwa kazi Kenya

Takriban maafisa 63 wa kikosi cha polisi nchini Kenya wamefutwa kazi kufuatia madai ya kuhusika na ufisadi.

 

9 years ago

Mwananchi

Polisi wafutwa kazi Kigoma

Polisi mkoani Kigoma imewafukuza kazi askari wake watatu kwa kusambaza taarifa za uongo kupitia mitandao ya kijamii juu ya utendaji kazi wa baadhi ya viongozi wa jeshi hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakuu wa ufisadi wasimamishwa kazi Kenya

Rais Uhuru Kenyatta, amewasimamisha kazi wakuu wawili wa shirika linalopambana na ufisadi nchini humo,

 

10 years ago

GPL

WAKUU WA SHIRIKA LA KUPAMBANA NA UFISADI NCHINI KENYA WASIMAMISHWA KAZI

Rais wa serikali ya Kenya, Uhuru Kenyatta. Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amewasimamisha kazi wakuu wawili wa shirika linalopambana na ufisadi nchini humo, siku moja tu baada ya bunge kupitisha mswaada inaowalaumu kwa uzembe na utepetevu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa msemaji wa Ikulu ya Rais Manoah Esipisu, tume ya maadili na kupambana na ufisadi, itaendelea na kazi yake licha ya kusimamishwa kwa wakuu hao wawili. Wakuu hao...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa Marekani wafutwa kazi

Wajeshi 9 wa kambi ya Kinyuklia watimuliwa kwa kudanganya katika mtihani wao

 

11 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji washambulia Lamu - Kenya

Pwani ya Kenya yashambuliwa na wapiganaji wanaoshukiwa kuwa wa kiislamu

 

11 years ago

BBC

Shooting near Kenya's Lamu island

Shooting has been reported near Kenya's Lamu island, the scene of several attacks claimed by Islamic militants this year.

 

11 years ago

BBCSwahili

Gavana wa Lamu Kenya amekamatwa

Serikali ya Kenya imekamata gavana wa jimbo lililokumbwa na mapigano yaliyosababisha vifo vya watu 65

 

9 years ago

BBCSwahili

Waislamu waliogoma wafutwa kazi Marekani

Waislamu 200 wanaofanya kazi katika kiwanda kimoja cha nyama Colorado, Marekani wamefutwa kazi baada yao kugoma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani