Wakwepa madeni ya nje kukiona
WAFANYABIASHARA waliokopeshwa fedha kupitia Mpango Maalumu wa Kuagiza Bidhaa na Malighafi kutoka Nje (CIS) na kukwepa kulipa, sasa ‘wanapumulia mashine’ baada ya serikali kuwabana kulipa madeni yao ndani ya miezi sita kuanzia jana.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili07 Jul
Wasichana 60 wakwepa Boko Haram
10 years ago
Uhuru Newspaper13 Nov
Wakwepa kodi sasa kuanikwa
NA THEODOS MGOMBA NA NJUMAI NGOTA
SERIKALI imewasilisha Bungeni muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi, ambao pamoja na mambo mengine, utaweka utaratibu wa kuwatangaza kwenye vyombo vya habari wakwepa kodi wote.
Akiwasilisha muswada huo bungeni jana, Waziri Fedha, Saada Mkuya Salum, alisema madhumuni ya muswada huo ni kuweka mfumo wa kisasa.
Waziri alisema nia ya kuwatangaza wakwepa kodi hao, ambao watathibitika kufanya hivyo, kutapunguza makosa sugu na ya makusudi.
Alisema mfumo huo wa kodi...
9 years ago
Mtanzania12 Dec
Wakwepa kodi walipa bilioni 10/-
NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imekusanya Sh bilioni 10.75 kati ya Sh bilioni 80 zinazodaiwa kutoka kwa wafanyabiashara waliokwepa kodi kwa kupitisha makontena 329 bila kulipa ushuru.
Fedha hizo zimekusanywa ndani ya siku sita baada ya Rais John Magufuli kukutana na wafanyabiashara Ikulu jijini Dar es Salaam na kuwapa siku saba kulipa fedha hizo kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria.
Akizungumza na MTANZANIA Jumamosi, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa...
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
UKAWA wakwepa mtego wa CCM
KITENDAWILI cha iwapo wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) watarejea bungeni jana kilishindwa kuteguliwa baada ya mkutano wa mwisho wa kutafuta maridhiano kukwama. Kikao hicho kilichoitishwa na Msajili...
10 years ago
Habarileo14 Nov
Wakwepa kodi sasa kufilisiwa
SERIKALI imesoma kwa mara ya pili bungeni, Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi (TAA) wa mwaka 2014, ambapo pamoja na mambo mengine, sheria hiyo itafanya wakwepa kodi kutangazwa kwenye vyombo vya habari.
9 years ago
Mwananchi18 Oct
CCM, Chadema ‘wakwepa’ mdahalo wa urais
10 years ago
Habarileo08 Dec
TRA: Tutawatupa jela wakwepa kodi
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA), Rished Bade amesema hakuna mtu aliye juu ya sheria ya ulipaji kodi halali, hivyo asiyetaka kulipa kodi kwa makusudi lazima atakutana na mkono wa sheria na kutupwa jela.
9 years ago
Habarileo05 Dec
Siku 7 za wakwepa kodi kaa la moto
SIKU moja baada ya Rais John Magufuli, kutoa siku saba kwa wafanyabiashara waliopitisha makontena yao bandarini bila kulipa kodi, kujisalimisha wenyewe na kulipa fedha hizo za Serikali, baadhi ya wafanyabiashara hao tayari wameanza kulipa kodi waliyokwepa.
11 years ago
Habarileo19 Jun
Nchemba- Nipeni taarifa za wakwepa kodi
NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amewaomba wadau katika Sekta ya Usafirishaji na wabunge, kutoa taarifa kuhusu wamiliki wa malori wanaokwepa kodi, ili awachukulie hatua.