UKAWA wakwepa mtego wa CCM
KITENDAWILI cha iwapo wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) watarejea bungeni jana kilishindwa kuteguliwa baada ya mkutano wa mwisho wa kutafuta maridhiano kukwama. Kikao hicho kilichoitishwa na Msajili...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi18 Oct
CCM, Chadema ‘wakwepa’ mdahalo wa urais
Wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk John Magufuli, pamoja na Edward Lowassa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameshindwa kushiriki mdahalo maalum wa wagombea urais ulioandaliwa na Taasisi ya Twaweza pamoja na wadau wengine.
10 years ago
Mwananchi19 May
Mtego Mahsusi
GARI moja la Polisi aina ya Toyota Land Cruiser, lililokuwa linaendeshwa kwa mwendo wa kasi, pia likiwasha taa za tahadhari na kupiga honi mfululizo, lilisimamishwa nje ya Kituo Kikuu cha Polisi, jijini Dar es Salaam, kunako majira ya saa nane za mchana. Vumbi zito lilitimka na kuwa na patashika nzito! Askari Polisi wa Kikosi maalumu, waliokuwa na bunduki zao, walishuka harakaharaka kulizunguka gari hilo, wakiwa wameziweka silaha hizo tayari kwa kuzitumia endepo ingetokea rabsha ya aina...
9 years ago
Mwananchi15 Sep
Mtego wa kanuni kuinasa Yanga
Yanga inakabiliwa na adhabu ya ama kulipa faini, kupewa onyo au kufungiwa kutokana na timu hiyo kugomea kutumia vyumba vya kubadilishia nguo na kukiuka kanuni ya 14 ya taratibu za mchezo iliyotolewa msimu huu na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RnVdzGQ*fcJfsdhBzHoYDt3NU6QsSwFnQEZIiiNE4lv1jAk2gkYZZ1B5-jFZRKFiBVoU0sbBj1OKS5THP8P8YWdzMGDOEi8W/mahaba.jpg?width=650)
MTEGO WA KUJIUZA WAMBADILI BABY
Stori: Gladness Mallya
BAADA ya mwanamuziki Baby Joseph Madaha kunaswa na mtego wa kujiuza uliotegwa na gazeti hili hivi karibuni, mdada huyo anaonekana kubadilika na anadai mgogoro uliojitokeza kati yake na meneja wake, Joe Kairuki kutokana na tukio hilo umekwisha. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni msanii huyo ambaye ni kati ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri alisema, tukio lile limefanya ajifunze kitu na kubadilika kwake...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZAWmPnMuulmtAaWAWdt6PR7mLIvhO6iwZ8iAyWoPJkrgw-1FkhDDhYfXEPPjlt83zG-VTwPv8adNIi4qfAlGqAeJ*Plhucmp/lubuva1.jpg)
UANDIKISHAJI KURA NI MTEGO, JINASUE!
UANDIKISHAJI Daftari la Kudumu la Kupigakura limeshakamilika katika Mkoa wa Njombe na habari nzuri ni kwamba vifaa zaidi vya kisasa vya BVR vimewasili, ili kuhakikisha zoezi hili linafanyika kwa ufanisi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva ametuambia kuwa zoezi hilo lilichukua muda mrefu katika Mkoa wa Njombe kufuatia uchache wa vifaa...
11 years ago
BBCSwahili19 May
Mtego wa ukahaba wanasa watoto Malindi
Watoto wa kike wenye hadi umri wa miaka kumi na miwili, wanalaghaiwa na kuchagizwa kuingia katika ukahaba.
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
Uchaguzi wa Oktoba na kisa cha mtego wa panya
WAKATI nchi yetu ikielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba ni vema tukakumbushana kisa cha mtego w
Maggid Mjengwa
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-P7TOBrfavVk/XnW8iUkVLbI/AAAAAAAC1YQ/cTX4_dI2SgwTklXHocuKxG7nv63odL3GACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
BOSI TAKUKURU NA MSAIDIZI WAKE WALIVYO DAKWA KATIKA MTEGO WA RUSHWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-P7TOBrfavVk/XnW8iUkVLbI/AAAAAAAC1YQ/cTX4_dI2SgwTklXHocuKxG7nv63odL3GACLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
(i)Christopher Mariba – Aliyekuwa Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Tanga na
(ii) Hilton Njau – Afisa Uchunguzi Mkuu kutoka ofisi ya TAKUKURU mkoa wa Tanga, kuhusishwa na tuhuma za kuomba na kupokea rushwa kutoka kwa mmoja wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m1tWer77BeClslFi0JtJgpqUPmE4VkLq0OJ5v3lLjZEMfjwy1apZpwsi-uy295rQ*bXkSacqmmU66ymBvp7n1D2cMpoS9HHS/redHANDED.jpg?width=650)
RED HANDED! NJEMBA AUVAA MTEGO AKIWA NA MKE WA RAFIKI YAKE GESTI
Na Mwandishi Wetu MAANDIKO yanasema ‘usitamani mali ya mtu mwigine’! Ni kweli kabisa, onyo hilo lilichukua fursa yake kufuatia njemba mmoja aliyejulikana kwa jina la Anton John Mwaweje kunaswa laivu gesti na mke wa rafiki yake aliyefahamika kwa jina moja la Chalz. Mke wa mtu sumu: Anton John Mwaweje baada ya kunaswa akiwa na mke wa rafiki yake gesti. Tukio hilo lilijiri mwanzoni mwa wiki hii kwenye gesti moja...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania