UANDIKISHAJI KURA NI MTEGO, JINASUE!
![](http://api.ning.com:80/files/ZAWmPnMuulmtAaWAWdt6PR7mLIvhO6iwZ8iAyWoPJkrgw-1FkhDDhYfXEPPjlt83zG-VTwPv8adNIi4qfAlGqAeJ*Plhucmp/lubuva1.jpg)
UANDIKISHAJI Daftari la Kudumu la Kupigakura limeshakamilika katika Mkoa wa Njombe na habari nzuri ni kwamba vifaa zaidi vya kisasa vya BVR vimewasili, ili kuhakikisha zoezi hili linafanyika kwa ufanisi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva ametuambia kuwa zoezi hilo lilichukua muda mrefu katika Mkoa wa Njombe kufuatia uchache wa vifaa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo12 May
Kura za maoni zapisha uandikishaji wapigakura
MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amesema kwa sasa suala la kura ya maoni limesitishwa kwa muda hadi pale tume hiyo itakapokamilisha uandikishaji wa wapigakura katika daftari la kudumu la wapigakura.
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
Uandikishaji daftari la wapiga kura bado
10 years ago
BBCSwahili31 Jul
Uandikishaji wapiga kura Dar es Salaam.
10 years ago
Dewji Blog24 Feb
Pinda azindua uandikishaji daftari la wapiga kura
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Uboreshaji wa Daftari kla Kudumu la Wapigakura katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015.Kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva na Katikati ni Katibu wa Tume hiyo, Ndugu Malaba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama kazi ya uandikishaji wapiga kura baada ya kuzindua Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura katika mji mdogo wa Makambako Februari 24, 2015. (Picha na Ofisi ya...
10 years ago
Mwananchi23 May
Dar es Salaam yapangiwa siku 12 uandikishaji wapiga kura
10 years ago
Mwananchi13 Feb
UANDIKISHAJI WAPIGA KURA: Vyama 22 vyaungana kuishukia NEC
10 years ago
StarTV13 Feb
NEC yasogeza mbele uandikishaji wapiga kura hadi Feb 16.
Na Josephine Mwaiswaga,
Dar es Salaam
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imesogeza wiki moja mbele ya kuanza zoezi la kuboresha Daftari la kudumu la wapiga kura ambalo awali lilipangwa kuanza Februari 16 na kwa mabadiliko hayo litaanza Februari 23 mwaka huu.
NEC imefanya mabadiliko haya baada ya shinikizo la muda mrefu kutoka kwa viongozi wa vyama vya siasa walioitaka tume hiyo kutoa muda zaidi wa kuzunguka nchi nzima kutoa elimu kwa wapiga kura ili waone umuhimu wa kujiandikisha.
Katika...
5 years ago
MichuziNEC yaongeza siku za uandikishaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura Dar
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeongeza muda wa uandikishaji katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura kwa mkoa ya Dar es Salaam.
Muda uliongezwa kwa katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura ni siku tatu ambapo zoezi hilo litaitimishwa Februari 23, 2020.
Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Uchanguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dkt Wilson Charles amesema kuwa kusogezwa kwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-hs8fzdqqBjM/VO3Q2_JnCZI/AAAAAAADPFE/HNB_EVYre0A/s72-c/661.jpg)
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AZINDUA UANDIKISHAJI DAFTARI LA WAPIGA KURA
![](http://2.bp.blogspot.com/-hs8fzdqqBjM/VO3Q2_JnCZI/AAAAAAADPFE/HNB_EVYre0A/s1600/661.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-f-Jjwai_oZc/VO3RV0SbydI/AAAAAAADPFc/LnieWMWEGns/s1600/06.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-SWQTv5HPkVE/VO3QziUVBJI/AAAAAAADPE0/rSZtM0FMjHM/s1600/03.jpg)