Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtego wa ukahaba wanasa watoto Malindi

Watoto wa kike wenye hadi umri wa miaka kumi na miwili, wanalaghaiwa na kuchagizwa kuingia katika ukahaba.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mtego Mahsusi

GARI moja la Polisi aina ya Toyota Land Cruiser, lililokuwa linaendeshwa kwa mwendo wa kasi, pia likiwasha taa za tahadhari na kupiga honi mfululizo, lilisimamishwa nje ya Kituo Kikuu cha Polisi, jijini Dar es Salaam, kunako majira ya saa nane za mchana. Vumbi zito lilitimka na kuwa na patashika nzito! Askari Polisi wa Kikosi maalumu, waliokuwa na bunduki zao,  walishuka harakaharaka kulizunguka gari hilo, wakiwa wameziweka silaha hizo tayari kwa kuzitumia endepo ingetokea rabsha ya aina...

 

11 years ago

GPL

MTEGO WA KUJIUZA WAMBADILI BABY

Stori: Gladness Mallya
BAADA ya mwanamuziki Baby Joseph Madaha kunaswa na mtego wa kujiuza uliotegwa na gazeti hili hivi karibuni, mdada huyo anaonekana kubadilika na anadai mgogoro uliojitokeza kati yake na meneja wake, Joe Kairuki kutokana na tukio hilo umekwisha. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni msanii huyo ambaye ni kati ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri alisema, tukio lile limefanya ajifunze kitu na kubadilika kwake...

 

9 years ago

Mwananchi

Mtego wa kanuni kuinasa Yanga

Yanga inakabiliwa na adhabu ya ama kulipa faini, kupewa onyo au kufungiwa kutokana na timu hiyo kugomea kutumia vyumba vya kubadilishia nguo na kukiuka kanuni ya 14 ya taratibu za mchezo iliyotolewa msimu huu na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

 

10 years ago

GPL

UANDIKISHAJI KURA NI MTEGO, JINASUE!

UANDIKISHAJI Daftari la Kudumu la Kupigakura limeshakamilika katika Mkoa wa Njombe na habari nzuri ni kwamba vifaa zaidi vya kisasa vya BVR vimewasili, ili kuhakikisha zoezi hili linafanyika kwa ufanisi kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Rais unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Damian Lubuva ametuambia kuwa zoezi hilo lilichukua muda mrefu katika Mkoa wa Njombe kufuatia uchache wa vifaa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA wakwepa mtego wa CCM

KITENDAWILI cha iwapo wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) watarejea bungeni jana kilishindwa kuteguliwa baada ya mkutano wa mwisho wa kutafuta maridhiano kukwama. Kikao hicho kilichoitishwa na Msajili...

 

10 years ago

Raia Mwema

Uchaguzi wa Oktoba na kisa cha mtego wa panya

WAKATI nchi yetu ikielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba ni vema tukakumbushana kisa cha mtego w

Maggid Mjengwa

 

5 years ago

CCM Blog

BOSI TAKUKURU NA MSAIDIZI WAKE WALIVYO DAKWA KATIKA MTEGO WA RUSHWA

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU inapenda kuufahamisha umma kwamba, watumishi wake wawili akiwemo Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Tanga, wamesimamishwa kazi kuanzia  Machi 20, 2020 ili kupisha uchunguzi dhidi yao. Hatua hii imefikiwa leo baada ya watumishi hao:
(i)Christopher Mariba – Aliyekuwa Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Tanga na
(ii) Hilton Njau – Afisa Uchunguzi Mkuu kutoka ofisi ya TAKUKURU mkoa wa Tanga, kuhusishwa na tuhuma za kuomba na kupokea rushwa kutoka kwa mmoja wa...

 

11 years ago

GPL

RED HANDED! NJEMBA AUVAA MTEGO AKIWA NA MKE WA RAFIKI YAKE GESTI

Na Mwandishi Wetu MAANDIKO yanasema ‘usitamani mali ya mtu mwigine’! Ni kweli kabisa, onyo hilo lilichukua fursa yake kufuatia njemba mmoja aliyejulikana kwa jina la Anton John Mwaweje kunaswa laivu gesti na mke wa rafiki yake aliyefahamika kwa jina moja la Chalz. Mke wa mtu sumu: Anton John Mwaweje baada ya kunaswa akiwa na mke wa rafiki yake gesti. Tukio hilo lilijiri mwanzoni mwa wiki hii kwenye gesti moja...

 

11 years ago

GPL

WIMBI LA UKAHABA

Stori: Waandishi Wetu, Dar na Morogoro
Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa! Mwanadada mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Fadhila Omary, mkazi wa Mbezi jijini Dar ametikisa midume na kuzua gumzo nchini baada ya kukamatwa mkoani Morogogo kwenye msako wa makahaba. KWA NINI?
Unaweza ukajiuliza kwa nini amegeuka gumzo lakini jibu ni kwamba ishu hiyo imemkuta hivi karibuni ikiwa ni miezi michache baada ya Mahakama ya Jiji la Dar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani