Walemavu kufaidika na huduma za NHIF
MAKUNDI mbalimbali ya wajasiriamali wa jamii ya wenye ulemavu yataanza kunufaika na huduma zinazotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), imefahamika jijini hapa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWATOA HUDUMA MKOANI LINDI WAASWA KUCHANGAMKIA MIKOPO INAYOTOLEWA NA NHIF ILI KUBORESHA HUDUMA ZA MATIBABU
9 years ago
Habarileo01 Jan
NHIF yatangaza maboresho ya huduma
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetangaza kuboresha orodha ya huduma na gharama zinazolipwa kwa watoa huduma kwa ajili ya kufanikisha huduma hizo. Aidha, imefunga mfumo wa malipo wa elektroniki katika maduka yote ya dawa yaliyosajiliwa na NHIF ambao unaruhusu uchakataji wa madai ya dawa kwa kila siku.
10 years ago
Tanzania Daima21 Oct
Wastaafu wafurahia huduma za NHIF
BAADHI ya walimu wastaafu wa Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, wameupongeza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa kuwa na fao la wastaafu linalowapa uhakika wa matibabu...
11 years ago
Habarileo21 Jun
Watoa huduma NHIF kukopeshwa bililioni 10/-
BODI ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), imeidhinisha Sh bilioni 10 kwa ajili ya kuwakopesha watoa huduma ili waweze kupata vifaa tiba na kukarabati maeneo yao ya kutolea huduma.
10 years ago
Michuzi03 Sep
NHIF kuendelea kuboresha huduma za afya nchini.
![](https://1.bp.blogspot.com/-T6nqPhNgnEU/VAb_toZEIDI/AAAAAAAAXr4/8lCHWbx5ja8/s1600/Mwamoto.jpg)
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Raphael Mwamoto akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)kuhusu mpango wa kuendelea kuboresha huduma za Afya nchini, wakati wa mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uwekezaji kutoka Mfuko huo Bw. Deusdedit Rutazaa.
![](https://3.bp.blogspot.com/-aJiNXi1xSAU/VAb_ttg8iWI/AAAAAAAAXrg/fPs_Bv3MWOg/s1600/Deusidedit%2BRutazaa.jpg)
Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Deusdedit Rutazaa akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)...
11 years ago
MichuziNHIF na huduma bora Wiki ya Utumishi wa Umma