WALICHOSEMA UKAWA KWA WAANDISHI WA HABARI DODOMA APRIL 17 2014
![](http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/04/Screen-Shot-2014-04-17-at-4.50.42-PM.png?resize=483%2C241&width=600)
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia (kushoto), Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (katikati) na Mwenyekiti wa Cuf Profesa Ibrahim Lipumba (kulia) wakiongea na waandishi wa habari. Baada ya kugoma na kuamua kutoka nje ya bunge la katiba Dodoma kikundi cha umoja wa katiba ya Wananchi (UKAWA) kimekutana na waandishi wa habari April 17 2014 na kuyazungumza haya yanayofata hapa chini.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMKUU WA MKOA WA DODOMA AFUNGUA MKUTANO WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI DODOMA KUHUSU UCHAGUZI MKUU
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-0mRYsTNfsTY/VbjFrQRCHDI/AAAAAAAC9Dc/Qvr15tviQZk/s72-c/2.jpg)
KAMATI YA HARAMBEE KUWASAIDIA WAANDISHI WA HABARI YAKABIDHI MILIONI 20 KWA WAANDISHI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU
![](http://1.bp.blogspot.com/-0mRYsTNfsTY/VbjFrQRCHDI/AAAAAAAC9Dc/Qvr15tviQZk/s640/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Fa5_n9_MOso/VbjFqqe6J3I/AAAAAAAC9DU/P_FbShviPM0/s640/3.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-XGhZd99YKeQ/VIw4QNl7W9I/AAAAAAAAZTs/rSLJ7lyDihg/s72-c/David-Misime.jpg)
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 13/12/2014
![](http://1.bp.blogspot.com/-XGhZd99YKeQ/VIw4QNl7W9I/AAAAAAAAZTs/rSLJ7lyDihg/s1600/David-Misime.jpg)
Nataka kuwahakikishia wananchi wote wa mkoa wa Dodoma kwamba Polisi tumejipanga vizuri kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola kusimamia usalama siku hiyo. Hivyo wananchi wajitokeze kupiga kura na wala wasiwe na hofu kwani ulinzi utaimarishwa katika vituo vyote vya kupigia kura na maeneo...
10 years ago
MichuziWAANDISHI WA HABARI WAPIGA KAMBI NDANI YA CCM MAKAO MAKUU, DODOMA
10 years ago
Michuzi14 Nov
KONGAMANO LA TISA LA NHIF NA WAANDISHI WA HABARI LAENDELEA LEO MKOANI DODOMA.
![](https://4.bp.blogspot.com/-c4o4-SMQybs/VGW1u0aof_I/AAAAAAAGxFE/fwP00dXq4kE/s640/2.jpg)
10 years ago
Vijimambo16 Jul
HABARI KWA KINA MKUTANO WA CUF NA WAANDISHI WA HABARI
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2791042/highRes/1063499/-/maxw/600/-/118eetjz/-/pic+cuf.jpg)
Dar es Salaam. Baraza Kuu la Uongozi wa Taifa la Chama cha Wananchi (CUF), limeutaka uongozi wa chama hicho kusitisha uamuzi wa kumpata mgombea urais wa Jamhuri ya...
11 years ago
MichuziMWENYEKITI WA KAMATI NAMBA 1 YA BUNGE LA KATIBA AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI MJINI DODOMA
9 years ago
Dewji Blog25 Nov
Serikali yaahidi kushirikiana na mashirika na wadau wa habari kutokomeza vitendo vya ukatili kwa waandishi wa habari
Mkuu wa ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues (katikati) akisalimiana na Mjumbe wa bodi udhamini ya Mtandao wa Radio Jamii Tanzania (COMNETA), Balozi Mstaafu, Christopher Liundi alipowasili katika mkutano wa kitaifa wa mashauriano kuhusu hali ya usalama wa waandishi wa habari, uzinduzi wa kikosi kazi cha usalama wa waandishi wa habari na uandishi unaozingatia maadili ulioandaliwa na UNESCO. Kulia ni...
9 years ago
Dewji Blog25 Aug
Shirika la Habari la Marekani la Internews laendesha mafunzo ya kuripoti habari za uchaguzi mkuu kwa waandishi wa ZNZ
Mhadhiri wa Sheria, Kitivo cha Sheria Zanzibar University, Ali Uki akionyesha kitabu cha Sheria cha Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na kitabu cha Sheria cha Tanzania na cha Zanzibar ambavyo vinawapasa waandishi wa habari kuvisoma na kuzitumia sheria hizo katika kuandika habari za Uchaguzi Mkuu kwa usahihi.
Mkufunzi na Mwandishi Mkongwe wa Tasnia ya Habari Zanzibar Salim Said Salim akitoa mada katika mafunzo ya siku tano juu ya kuandika Habari za Uchaguzi Mkuu yaliyoandaliwa na...