WALIDHARAULIWA, SASA HAWAKAMATIKI!
![](http://api.ning.com:80/files/e94-*Sv1fqof2npIwIdgSJHHyKVhhHSFTXNMWS8xfq5zAb0WO*pmZCatAEC31YFF9PprOBb-V7IshHroZc1por1ujPDRlOqJ/denzelwashington660.jpg?width=650)
Denzel Washington. KATIKA maisha, kila mmoja ana ndoto za kufanikiwa katika maisha. Hata hivyo, wapo watu ambao wamepitia njia ngumu kwenda kwenye mafanikio zilizowafanya kunyanyasika, kudharaulika na hata kupigwa. Wafuatao ni baadhi ya mastaa ambao awali, walionekana si chochote, lakini leo hawakamatiki. Jennifer Aniston. Sandra…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-vkHkxqajUXE/VSePK7jHTMI/AAAAAAAC3Cc/6S1kXDSyaM8/s72-c/For%2BAds%2B(3).png)
Kutoka ving’amuzi hadi ‘Android Application’,STARTIMES Hawakamatiki.
Application hiyo inayofanya kazi katika simu zote zenye kutumia mifumo ya Android itakuwezesha kufahamu ratiba za chaneli zako zote kwa siku saba (wiki moja) zijazo, kuweka ‘reminders’ kwenye vipindi uvipendavyo, kuchat na watumiaji wengine wa StarTimes na kukusanya sarafu au‘coins’ zinazoweza kukombolewa na kujishindia zawadi mbalimbali.
![](http://4.bp.blogspot.com/-vkHkxqajUXE/VSePK7jHTMI/AAAAAAAC3Cc/6S1kXDSyaM8/s1600/For%2BAds%2B(3).png)
11 years ago
MichuziCULTURAL WARS SASA IMEKAMILIKA NA SASA UNAWEZA KUPATA COPY YAKO, PITIA HII TRAILER.
Ile filamu mliyokuwa mnaisubiri kwa hamu iitwayo “Cultural Wars” iliyoandikwa na kutengenezwa na Deogratius Mhella (Mtanzania anayeishi New York) akishirikiriana na Watanzania na Wamarekani waishio New York, New Jersey Boston na Connecticut sasa imetoka kwa mara ya kwanza na inapatikana kwenye DVD na unaweza kupata “electronic Copy” Filamu hii inazungumzia baadhi ya changamoto za kimapenzi wazipatazo vijana wa Kitanzania hapa...
10 years ago
Bongo Movies25 Sep
Sasa nipo teyari kuolewa- Jackline Wolper, Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu
Star wa filamu nchini Jackline Wolper amesema kuwa kwasasa yupo tayari kuolewa baada ya kupitia mambo mengi zikiwemo starehe za ujana ambazo wengi wanaokuwa kwenye ndoa huzikimbilia na kuvunja ndoa zao kwa kuwa hawakuzifanya kipindi wapo nje ya ndoa.
"Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu, niko tayari kabisa kuwa mke nimepitia vitu vingi ambavyo mara nyingi wengi wao huwa wanakimbilia kwenye ndoa wakiwa bado hawajavimaliza halafu mwisho wa siku wanazishindwa, mimi nishamaliza...