Waliokwepa kulipa kodi bandarini Tanzania wagunduliwa
Kampuni 43 ambazo zinamiliki makontena 329 yaliyokamatwa bandarini Tanzania wakati wa ziara ya kushtukiza ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa zimetambuliwa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWALIOKWEPA KULIPA KODI WAHUKUMIWA KULIPA BILIONI 1.5 BAADA YA KUKILI KOSA
Na Karama Kenyunko Michuzi TV,
ALIYEKUWA Rais wa Kampuni ya Acacia, Deodatus Mwanyika na wenzake wamehukumiwa kulipa fidia ya Sh bilioni 1.5 baada ya kukiri mashitaka ya kukwepa kulipa kodi.
Pia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kulipa faini ya Sh milioni 1.5 1 ama kutumikia kifungo cha miezi minne gerezani iwapo watashindwa kulipa faini hiyo.
Mbali na Mwanyika washitakiwa wengine ni Meneja Uhusiano wa Mgodi wa Bulyanhulu, Alex Lugendo, Mkurugenzi mtendaji wa mgodi wa Pongea, North...
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…
Mipango ya Rais Magufuli kuendelea kupambana na wabadhirifu wa mapato ya Serikali yameendeela kuchukua sura mpya. Kupitia Mamlaka ya Mapato TRA Rais aliweza kufanya mabadiliko makubwa ikiwa ni pamoja na kuwaondoa watendaji ambao walihusika katika upotevu wa fedha za umma pamoja na kuwabana wakwepa kodi ambao ni wafanyabiashara wakubwa. Kingine kilichonifikia leo kutoa kutoka kwa […]
The post Matatu kutoka TRA >>>makusanyo ya kodi yaliyofikiwa, usajili wa pikipiki, walioshindwa kulipa kodi…...
10 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA MANISPAA YA SUMBAWANGA WALALAMIKIA KODI MBALIMBALI SERIKALINI, MKUU WA MKOA WA RUKWA AWATAKA KUWA WAZALENDO KULIPA KODI KWA HIARI KUJENGA NCHI YAO
10 years ago
MichuziMAKALA YA SHERIA: IJUE NAMNA YA KUPATA MSAMAHA WA KODI NA USHURU BANDARINI.
9 years ago
Bongo504 Dec
Hawajakoma bado: Makontena mengine 2431 yapita bandarini bila kulipiwa kodi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametembelea bandarini na shirika la reli Tanzania(TRL).
Akiwa bandarini amekagua mfumo wa utoaji na uingizaji mizigo bandarini. Katika maongezi ya awali meneja wa bandari alimuhakikishia kuwa mfumo hauruhusu kontena kuibiwa lakini waziri mkuu alienda na ripoti ya ukaguzi na kumuonyesha majina ya waliopitisha makontena zaidi 2431 bila kulipiwa kodi.
Amempa muda wa masaa matatu hadi saa kumi na mbili jioni aambiwe hatua zilizochukuliwa kwa wahusika kwa sababu...
9 years ago
Habarileo13 Dec
Walioshindwa kulipa kodi hadharani
MAKAMPUNI 15 yaliyokwepa kodi baada ya kutorosha makontena yao, yamejisalimisha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), lakini yameshindwa kulipa kodi ndani ya siku saba za msamaha wa Rais John Magufuli.
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AVAMIA TENA BANDARINI NA TRL,AKUTA MAKONTENA 2431 YEMETOKA BILA KULIPIWA KODI.
9 years ago
Dewji Blog04 Dec
Waziri Mkuu atinga tena bandarini na TRL, akuta makontena 2431 yametoka bila kulipiwa kodi!!
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua bandari ya Dar s salaam Desemba 3, 2015 ambako alikwenda kupata ukweli kuhusu makontena 2,431 yaliyopitia kwenye bandari hiyo bila kulipiwa kodi ya serikali. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya ziara nyingine ya kushtukiza bandarini na kukagua mfumo wa upokeaji na utoaji mizigo na utozaji wa malipo baada ya kupewa taarifa kwamba kuna makontena 2,431 yametolewa bila kulipiwa ushuru.
Waziri Mkuu alisema kwa mujibu wa...
9 years ago
Mwananchi09 Sep
Serikali yawasamehe wafanyabiashara kulipa kodi