Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliopinga Katiba mpya kusikilizwa

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalumu la Katiba, Andrew Chenge (kulia) akionesha Rasimu ya Katiba. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samwel Sitta.WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, waliopiga kura ya ‘Hapana’ kwa Rasimu yote ya Katiba Inayopendekezwa, wameundiwa Kamati ya Mashauriano itakayosikiliza malalamiko yao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTIZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA


Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa JUKWAA LA KATIBA juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo. Picha na Cathert Kajuna wa Kajunason Blog
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Wajumbe wa JUKWAA LA KATIBA...

 

11 years ago

GPL

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTAZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa jukwaa la katiba juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo.
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.…
...

 

10 years ago

Mwananchi

KATIBA MPYA: Wingu linavyogubika hatima Mchakato wa Katiba Mpya

>Bado hakuna mwafaka kuhusu hatima ya Katiba Mpya, baada ya kuahirishwa kwa upigaji Kura ya Maoni iliyopaswa ifanyike Aprili 30 mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO WA KATIBA MPYA: Katiba Mpya ilivyoligawa Taifa

>Wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingi. Usemi huo umejidhihirisha kwenye mchakato wa mabadiliko ya Katiba ambao tayari umeonyesha kuligawa taifa katika makundi matatu; Serikali, taasisi za dini na vyama vya siasa.

 

9 years ago

MillardAyo

Sio Wakenya wote wanasupport WaTz kufungiwa Instagram… kuna hawa waliopinga kwa mashambulizi!!

January 5 2015 niliisogeza kwako stori ya Wakenya iliyoweka headlines kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter ambapo watu wengi walianzisha mjadala wa kuwataka Watanzania wote wafungiwe matumizi ya Instagram kutokana na matumizi mabaya ya baadhi ya Watanzania! Lakini sio Wakenya wote wanakubaliana na #KickTanzaniansOutOfIG. Hizi ni baadhi ya posts za @XtianDela Mkenya aliyeanzisha mjadala wa […]

The post Sio Wakenya wote wanasupport WaTz kufungiwa Instagram… kuna hawa waliopinga kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa

Natambua kwamba bado tuna joto la sakata la “escrow” ambalo hata baada ya Mkuu wa Nchi Rais Jakaya Kikwete kulifafanua na hata kama hujui kusoma upepo kiasi gani utakuwa umegundua na utaungana nami kwamba bado wananchi wamegawika kabisa.

 

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO KATIBA MPYA: Hamad: Kwa nini Wazanzibari wanapaswa kupitisha Katiba

>Wakati Mchakato wa Mabadiliko ya Katiba ukifikia hatua ya Kura ya maoni inayotarajiwa kupigwa Aprili 30 mwaka huu, watu wameendelea kutoa maoni yao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

MJADALA WA KATIBA MPYA: Asasi za kiraia kuelimisha jamii kwa kugawa CD, flash za Katiba

BAADA ya Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar na hatimaye Tanzania iliyotokana na muungano wa nchi hizo mwaka 1964, wananchi hawakuwahi kupewa fursa ya kushiriki katika utungaji wa Katiba ya nchi....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani