Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANACHAMA 2,565 WAJITOKEZA KUMDHAMINI DKT. MAGUFULI RUANGWA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishuhudia wakati mwanachama wa CCM, Jacob Masumbuko alipotia saini fomu ya kumdhamini, Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili aweze kuteuliwa kuteuliwa tena kugombea urais. Zoezi hilo lilifanyika kwenye Ofisi ya CCM ya wilaya ya Rungwa, Juni 21, 2020. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa LIndi, Fadhili Juma.Waziri Makuu, Kasim...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

WANA CCM RUANGWA WAMIMINIKA KUMDHAMINI DK. MAGUFULI, 2,565 WAJITOKEZA

 Waziri Makuu, Kasim Majaliwa akishuhudia wakati wana CCM walipojitokeza  kujaza fomu za  kumdhamini Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili aweze kuteuliwa tena kugombea urais katika uchaguzi ujao. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Lindi , Fadhili Juma

RUANGWA, Lindi
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameongoza wanachama 314 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Ruangwa, Lindi katika kujaza fomu za kumdhamini Rais Dkt. John Pombe Magufuli ili aweze kuteuliwa kugombea tena nafasi ya...

 

5 years ago

CCM Blog

WANACHAMA WA CCM 2688 WAJITOKEZA KUMDHAMINI RAIS MAGUFULI MKOA WA KUSINI UNGUJA

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja wajitokeza kumdhamini Mgombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli, hafla hiyo imefanyika Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, kama wanavyoonekana pichani wakiwa katika mstari wakisubiri kumdhamini Mgombea wao.Na. Maelezo  Zanzibar 25/06/2020.Wanachama 2688 wa Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja wamejitokeza   kumdhamini mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,John Pombe Magufuli ambae...

 

5 years ago

Michuzi

WANA CCM MANYONI WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI RAIS DKT MAGUFULI

Baadhi ya Wanachama wa CCM wilayani Manyoni wakijaza fomu ya kumdhamini Mwenyekiti wa CCM Taifa Mh. John Pombe Magufuli, katika kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa Oktoba 2020.Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Manyoni Mkoani Singida Ndg. Jumanne Ismail Makhanda akizungumza na baadhi ya Wanachama wa CCM wilayani Manyoni waliojitokeza...

 

10 years ago

Michuzi

MOROGORO WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI WAZIRI MAGUFULI

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kushoto akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika  mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM  kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Morogoro mjini Dkt. Magufuli akiangalia kwa makini zoezi la uhakiki wa Wanachama na udhamini likiendelea katika Ofisi za CCM Wilaya ya Morogoro mjini.

 Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya...

 

10 years ago

Michuzi

WANA CCM MKOANI SINGIDA, TABORA NA SHINYANGA WAJITOKEZA KUMDHAMINI WAZIRI MAGUFULI

Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Katibu wa CCM Wilayani Nzega Mkoani Tabora.Waziri wa Ujenzi Dkt. Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika Mkoa wa Shinyanga.Baadhi ya Wadhimini waliojitokeza kumdhamini Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato...

 

10 years ago

Habarileo

380 wajitokeza kumdhamini Membe Iringa

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard MembeWAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amepata wadhamini 380 mkoani Iringa katika harakati zake za kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

 

10 years ago

Vijimambo

MWANZA WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI BERNARD MEMBE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje ya viwanja vya ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza Juni 21.2015, wakati akitafuta wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo wanaCCM zaidi ya 2,300 walimdhamini. Picha zote na John BadiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge...

 

10 years ago

Michuzi

MTWARA WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMNINI DKT. MAGUFULI

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika  mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mtwara.


 Mchakato wa udhamini ukiendelea kwenye Ofisi za CCM Wilaya ya Mtwara mjini.

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini kutoka...

 

10 years ago

Vijimambo

MOROGORO WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI WAZIRI BERNARD MEMBE

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (mwenye miwani), akilakiwa na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi waliofurika nje ya viwanja vya ofisi ya CCM ya Morogoro Mjini Juni 24.2015, wakati akitafuta wadhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo wanaCCM zaidi ya 950 walimdhamini. Picha zote na John BadiWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani