Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


wanachokifanya UKAWA ni Usanii usiokuwa na tija kwa Taifa - Nape


     Chama Cha Mapinduzi kimewastukia Ukawa na kusema wanachofanya ni Usanii usiokuwa na tija mbele ya mambo ya msingi kwa Taifa la Tanzania, akizungumza na mwaandishi wa habari hizi Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye alisema hoja zote zinazotolewa na UKAWA zina majibu kwenye Sheria na Kanuni zinazoendesha Bunge la Katiba ,CCM pia imewashukia  UKAWA kwa kuwatukana na kuwadhalilisha viongozi wa dini ambao wamekuwa wakisisitiza UKAWA kurudi Bungeni.

     CCM yawaomba wabunge...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Mifumo ya biashara ya Jotoardhi ina tija kwa taifa

PIX 1

Naibu Kiongozi wa Timu ya Shirika linanoshughulikia masuala ya Jotoardhi Afrika Mashariki (EAGER) Bw. John Heath akiwaelimisha wadau mbalimbali wa Kampuni inashughulikia Uendelezaji wa Nishati ya Jotoardhi Tanzania (TGDC), Wizara ya Nishati na Madin, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) pamoja na wadau wa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) kuhusu Mifumo mbalimbali ya biashara kwa soko la Jotoardhi. Warsha inayofanyika tarehe 2- 4 Septemba, 2015 jijini Dar es...

 

10 years ago

Mwananchi

Kituo cha kulea tembo yatima kina tija kwa Taifa?

Katika hali ya kawaida, Watanzania wamezoea kusikia au kuona vituo vya kulea watoto yatima, ambavyo vimesambaa karibu nchi nzima.

 

11 years ago

Dewji Blog

CCM yastukia usanii wa UKAWA

1

Chama Cha Mapinduzi kimewastukia Ukawa na kusema wanachofanya ni Usanii usiokuwa na tija mbele ya mambo ya msingi kwa Taifa la Tanzania,akizungumza na mwaandishi wa habari hizi Katibu wa  NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye alisema hoja zote zinazotolewa na UKAWA zina majibu kwenye Sheria na Kanuni zinazoendesha Bunge la Katiba ,CCM pia imewashukia  UKAWA kwa kuwatukana na kuwadhalilisha viongozi wa dini ambao wamekuwa wakisisitiza UKAWA kurudi Bungeni.

CCM yawaomba wabunge wa bunge la...

 

9 years ago

Michuzi

JKT KUBORESHA MAZINGIRA YA MAFUNZO ILI YAWE NA TIJA ZAIDI KWA WAHITIMU NA TAIFA


Jeshi la kujenga taifa JKT limesema linaendelea na harakati za kuboresha mazingira ya mafunzo kwa vijana wa mujibu wa sheria na wale wa kujitolea ikiwa ni pamoja na kuimarisha miundombinu na upatikanaji wa vifaa vya mafunzo vinavyojumuisha sare pamoja na viatu ili kuyafanya mafunzo hayo kuwa bora na yenye kuwajenga vijana katika moyo wa uzalendo kwa nchi yao.
Mkuu wa jeshi la kujenga taifa JKT.Meja Jenerali Raphael Muhunga amesema hayo wakati akifunga mafunzo ya JKT kwa vijana wa mujibu...

 

10 years ago

Vijimambo

USANII SIYO KUIGIZA AU KUIMBA HATA HUU NI USANII PIA

Pitia  hii labda na wewe utaipenda jamaa alituliza kichwa na kuibuka na hii apewe hongera yake kiroho safi.

 

9 years ago

Michuzi

MWIGULU NCHEMBA ALIPUA UKAWA KWA KUNUKUU MANENO YA BABA WA TAIFA

Mwigulu Nchemba akiwasili eneo la Mkutano nje kidogo na Mji wa Babati hii leo alipofika kwaajili ya Mkutano wa kampeni wa kuinadi Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya Mwaka 2015.Pia kuwanadi wagombea Udiwani na Ubunge kwa Babati Mjini.Kutoka Kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Manyara Ndg.Ndekubali,Katikani ni Mwigulu Nchemba na Mwisho kulia ni Mh.Chambili ambaye ni Mgombea Ubunge Jimbo la Babati Mjini.Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa Babati hii leo,Katika hotuba yake amesisitiza Wananchi...

 

11 years ago

Mwananchi

Nape abeza Ukawa kuungana

Siku moja baada ya vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutangaza kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi ya urais na ubunge majimboni, CCM kimebeza hatua hiyo kikisema viongozi hao hawawezi kukaa zizi moja.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Nape: UKAWA inafanya uzushi



Asema Tume ya Katiba haikuwa ya mwisho Awataja pia Mbowe, Tundu Lissu na Jussa
Na Charles Charles
 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetaka wananchi kujihadhari na uzushi, uongo na upotoshaji unaofanywa na genge linalojiita Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ili kutaka mchakato wa Katiba mpya ukwame.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Idara ya Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alisema genge hilo linafanya hivyo kutokana na uchu wa madaraka walionao viongozi...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Nape awarushia kombora UKAWA



NA MWANDISHI WETUMCHAKATO wa Katiba Mpya umeendelea kutumika kama kichaka cha kuzuia vuguvugu la mabadiliko katika vyama vya upinzani nchini. Vyama vingi vya upinzani vikiwemo vinavyojinadi kuwa ndio vikubwa, vimekuwa kwenye migogoro mikubwa inayotokana na ubaguzi, matumizi mabaya ya madaraka na kugombea ruzuku. Pia vyama vingine ikiwemo CHADEMA ambacho kimegubikwa na migogoro mizito ikiwemo ya kuwania madaraka na ufujaji wa fedha za ruzuku, huku baadhi ya viongozi wake wakitimuliwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani