Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi 230 bado wametekwa Nigeria

Takriban wanafunzi 230 waliotekwa nyara Nigeria hawajapatikana kinyume na taarifa ya serikali kuwa ni wanafunzi 85 pekee ambao hawajapatikana

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

KwanzaJamii

Wanafunzi bado wanafanyishwa kazi

Na Albano Midelo WALIMU katika shule za msingi nchini  wamekuwa wanaendelea kuwafanyisha kazi  watoto wa shule za msingi bila kuzingatia muda wa masomo hali ambayo inachangia kushusha kiwango cha elimu nchini. Mwandishi wa makala haya ameshuhudia hivi karibuni wanafunzi karibu wote shule ya msingi Mfuate pichani juu iliyopo kata ya Likuyuseka wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wakifanyishwa kazi ya kubeba tofali muda wa masomo. Mkazi wa kijiji cha Likuyu ambaye hakutaka jina lake kuandikwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Maandaamano bado Hong kong :Wanafunzi

Hong Kong imeitisha mazungumzo maalumu na viongozi wa wanafunzi wanaoongoza maandamano.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi 66 kidato cha tatu Muungano bado kufika shule

DSC03697

Mwenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari ya muungano  kata ya Iseke wilaya Ikungi mkoa wa Singida, Rajabu Ali, akifafanua jambo kwenye mkutano wa wazazi wa shule ya sekondari hiyo uliofanyika kwenye chumba cha darasa katika shule hiyo. Kulia ni mkuu wa shule ya sekondari muungano Mwl. Augustino Mkhotya na kushoto ni mmoja wa walimu wa shule hiyo.

Na Nathaniel Limu, Ikungi

WANAFUNZI 66 waliopaswa kuanza kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Muungano kata ya Iseke wilaya ya Ikungi mkoa wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola bado tishio Nigeria

Shule zafunguliwa nchini Nigeria baada ya tishio la maambukizi ya Ebola

 

11 years ago

BBCSwahili

Boko Haram bado ni hatari Nigeria

Kumekuwa na mashambulizi mabaya sana dhidi ya wakazi wa mji wa mpakani wa Bama, siku moja baada ya serikali kusema jeshi linashinda vita dhidi ya Boko Haram.

 

10 years ago

Dewji Blog

Uwezo wa vyuo vikuu kuchukua wanafunzi wa sayansi bado changamoto kwa Tanzania kutimiza malengo ya EFA

DSC_0341

Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Ufundi nchini Tanzania  Mh. Dkt. Shukuru Kawambwa akifungua mkutano wa kimataifa wa kutathmini mafanikio na changamoto za utekelezaji wa  malengo ya Mpango wa Kimataifa wa Elimu kwa Wote-EFA uliofanyika jijini Dar Es Salaam ambapo amesema tangu mwaka 2000 Tanzania imepiga hatua kubwa  katika kuelekea kutimiza malengo ya Mpango huo ikiwa ni utashi wa kisiasa na kuwajibika vikisaidiwa na kujitolea kwa wadau wa sekta ya elimu pamoja na washirika wa maendeleo.(Picha...

 

10 years ago

GPL

UWEZO WA VYUO VIKUU KUCHUKUA WANAFUNZI WA SAYANSI BADO CHANGAMOTO KWA TANZANIA KUTIMIZA MALENGO YA EFA‏

Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Ufundi nchini Tanzania Mh. Dkt. Shukuru Kawambwa akifungua mkutano wa kimataifa wa kutathmini mafanikio na changamoto za utekelezaji wa malengo ya Mpango wa Kimataifa wa Elimu kwa Wote-EFA uliofanyika jijini Dar Es Salaam ambapo amesema tangu mwaka 2000 Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuelekea kutimiza malengo ya Mpango huo ikiwa ni utashi wa kisiasa na kuwajibika vikisaidiwa na kujitolea kwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanamgambo waua wanafunzi Nigeria

Wanamgambo wa Kiislam wa kundi la Boko Haram wametuhumiwa kuua wanafunzi kadhaa nchini Nigeria

 

9 years ago

Bongo5

Mwigizaji wa Nigeria Genevieve Nnaji (36) azungumzia sababu za kwanini bado hajaolewa

Mwigizaji superstar wa Nigeria, Genevieve Nnaji amezungumzia kuhusu maisha yake ya mapenzi na mipango ya ndoa. Genevieve ni msichana mrembo na aliyefanikiwa kimaisha kupitia filamu pamoja na biashara zake nyingine ikiwemo mitindo, lakini katika umri wa miaka 36 alionao sasa bado hajabahatika kuolewa. Staa huyo ambaye kwa sasa anapromote filamu yake mpya ‘Road To Yesterday’ […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani