Wanafunzi bado wanafanyishwa kazi
Na Albano Midelo WALIMU katika shule za msingi nchini wamekuwa wanaendelea kuwafanyisha kazi watoto wa shule za msingi bila kuzingatia muda wa masomo hali ambayo inachangia kushusha kiwango cha elimu nchini. Mwandishi wa makala haya ameshuhudia hivi karibuni wanafunzi karibu wote shule ya msingi Mfuate pichani juu iliyopo kata ya Likuyuseka wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wakifanyishwa kazi ya kubeba tofali muda wa masomo. Mkazi wa kijiji cha Likuyu ambaye hakutaka jina lake kuandikwa...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 Oct
Maandaamano bado Hong kong :Wanafunzi
11 years ago
BBCSwahili21 Apr
Wanafunzi 230 bado wametekwa Nigeria
10 years ago
Dewji Blog03 Feb
Wanafunzi 66 kidato cha tatu Muungano bado kufika shule
Mwenyekiti wa bodi ya shule ya sekondari ya muungano kata ya Iseke wilaya Ikungi mkoa wa Singida, Rajabu Ali, akifafanua jambo kwenye mkutano wa wazazi wa shule ya sekondari hiyo uliofanyika kwenye chumba cha darasa katika shule hiyo. Kulia ni mkuu wa shule ya sekondari muungano Mwl. Augustino Mkhotya na kushoto ni mmoja wa walimu wa shule hiyo.
Na Nathaniel Limu, Ikungi
WANAFUNZI 66 waliopaswa kuanza kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Muungano kata ya Iseke wilaya ya Ikungi mkoa wa...
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Yanga: Kazi bado ngumu
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm, amekiri Ligi Kuu ni ngumu na kwamba hadi sasa hakuna timu ambayo imejihakikishia kutwaa ubingwa wa ligi hiyo inayofikia tamati Aprili 19. Yanga...
10 years ago
Mwananchi03 Apr
Julio: Bado nina kazi ngumu Coastal
9 years ago
StarTV02 Oct
Uhaba wa walimu, malipo, vitendea kazi bado changamoto
Changamoto zinazoikabili sekta ya elimu nchini zinachangia kurudisha nyuma sekta hiyo na kusababisha wanafunzi kutotambua mahitaji yao baada ya kuhitimu masomo.
Miongoni mwa changamoto hizo ni pamoja na uhaba wa walimu, uwepo wa mitaala isiyokidhi mahitaji ya kielimu, ucheleweshwaji wa malipo kwa walimu na uhaba wa vitabu na vitendea kazi mashuleni.
Changamoto nyingine ni mazingira magumu ya kazi kwa walimu, wingi wa idadi ya masomo kwa wanafunzi pamoja na urundikanaji wa watoto...
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Prof, Jay bado alia wizi kazi za wasanii
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Joseph Haule ‘Profesa Jay’, bado anaendelea kuumizwa na wizi wa kazi za wasanii huku akidai kwamba mamlaka husika zimeshindwa kutatua tatizo hilo. Profesa...
10 years ago
Michuzi17 Feb
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Hongereni wabunge, hongera rais lakini kazi bado ipo
HONGERENI sana wabunge. Hongera pia Rais Jakaya Kikwete kwa kuwafukuza kazi mawaziri wanne. Nilijisikia faraja kuona wabunge wa upinzani na chama tawala wakiwa wamoja katika hilo. Hongera Amiri Jeshi Mkuu...