WANAFUNZI WA SEKONDARI YA UPILI MANDERA WATEMBELEA GLOBAL
Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Richard Manyota (kulia) akiongea jambo na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya wasichana ya Mandera iliyopo Chalinze, Bagamoyo. Wanafunzi wa shule ya wasichana Mandera wakimsikiliza…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA MANZESE WATEMBELEA GLOBAL
Mhariri Mtendaji Richard Manyota (kulia) wa Global Publishers akifafanua jambo mbele ya wanafunzi hao. Wanafunzi hao wakitunza kumbukumbu za maelezo muhimu.…
11 years ago
GPL
WANAFUNZI WA MANDELA GIRLS WATEMBELEA GLOBAL
Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Richard Manyota (kulia) akiongea na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mandela Girls ya Bagamoyo. Sophia Juma Halfan (kushoto) na Rahma Nassibu Abdallah (kulia) wakimsikiliza kwa makini Mhariri Mtendaji.…
11 years ago
Michuzi.jpg)
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Ritariza kutoka Rombo Mkoani Kilimanjaro watembelea bunge dodoma
.jpg)
.jpg)
.jpg)
11 years ago
GPL
WANAFUNZI IRINGA UNIVERSITY WATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS
Mhariri Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Richard Manyota akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Iringa (zamani Tumaini University) walipotembelea ofisi za Global Publishers leo. Baadhi ya wanafunzi wanaosomea Uandishi wa Habari, Chuo Kikuu cha Iringa pamoja na viongozi wao wakimsikiliza Manyota. Wanafunzi 30 wanaosomea fani ya Uandishi wa Habari katika Chuo Kikuu… ...
11 years ago
MichuziMAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA YA MANDERA
11 years ago
GPLMAPRODYUZA MESEN SELEKTA, MONA GANGSTAR WATEMBELEA GLOBAL, WAFANYA MAHOJIANO NA GLOBAL TV ONLINE
Prodyuza Mesen Selekta akiwa tayari kwa mahojiano na presenta wa Global TV Online, Pamela Daffa 'The Mic Queen'. Mesen Selekta katika pozi ndani ya Global TV.…
11 years ago
GPLWAFANYAKAZI WA FNB WATEMBELEA GLOBAL
Afisa Masoko wa FNB, Anthonia Daviki akiongea na wafanyakazi wa Global (hawapo pichani). Antonia David (wa pili kutoka kushoto) akiwapa maelekezo wafanyakazi wa Global jinsi ya kujiunga na huduma za First National Bank (FNB).…
10 years ago
Vijimambo
Wanafunzi wa FEZA watembelea uwakilishi wa kudumu UN

Pichani ni Baadhi ya Wanafuzi wa Shule ya Feza Tanzania na viongozi wao ambao wapo hapa Marekani kwa ziara ya mafunzo walipata nafasi ya kufika katika uwakilishi wa kudumu wa Tanzania na walibadilishana mawazo na Naibu Mwakilishi wa Kudumu, Balozi Ramadhan Mwinyi.

10 years ago
GPLPAH ONE WATEMBELEA GLOBAL PUBLISHERS LEO
Wanamuziki wanaounda Kundi la Pah One Ola (kushoto) na Igwee wakiwa katika pozi kwenye studio za Global TV Online leo. Pah One wakiwa na mtangazaji wa Global TV Online, Mourad Alfah kabla ya kuanza mahojiano.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania