WANAFUNZI WAADHIMISHA SOMO LA HISABATI NCHINI
Wanafunzi wakiwa na Bango wakiingia viwanjani hapo. Wanafunzi wa shule mbalimbali wakiingia kwa mbwembwe .…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL30 Sep
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-a0Vvq0GZeAI/VCqBIAPFB1I/AAAAAAACr3U/hvRkCZCp9HA/s72-c/5.jpg)
PROGRAMU MPYA YA KUJIFUNZA SOMO LA HISABATI KWA KUTUMIA SIMU ZA MIKONONI YAZINDULIWA JIJINI DAR LEO
![](http://4.bp.blogspot.com/-a0Vvq0GZeAI/VCqBIAPFB1I/AAAAAAACr3U/hvRkCZCp9HA/s1600/5.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-62UVv7pT3T4/VCqBIBriSFI/AAAAAAACr3M/3VUU-TOyvNU/s1600/6.jpg)
10 years ago
Dewji Blog20 Aug
Wanafunzi wa stashahada ya ualimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati UDOM kunufaika na mikopo ya elimu ya juu
Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw. Cosmas Mwaisobwa akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya utoaji mikopo kwa mwaka wa masomo 2014/2015, wakati wa mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.
Baadhi ya Waaandishi wa Habari wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa...
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Fawopa yawapa somo wanafunzi
MWENYEKITI wa Shirika lisilo la kiserikali la Faidika Wote Pamoja (Fawopa-Tanzania) la mkoani Mtwara, Saidi Nassoro, amewataka wanafunzi kusoma kwa bidii, ili kuweza kufikia malengo yao waliojiwekea. Nassoro alitoa kauli...
10 years ago
GPLIYF YAWAPA SOMO WANAFUNZI DAR
10 years ago
BBCSwahili19 Feb
Wataka wanafunzi wafunzwe somo la ngono
11 years ago
CloudsFM05 Jun
HAPPINESS MAGESE ATOA SOMO KWA WANAFUNZI
MWANAMITINDO maarufu ulimwenguni na mshindi wa taji la Miss Tanzania mwaka 2001, Happiness Magese, kupitia mradi wake wa Millen Magese Foundation, leo amewapa semina wasichana wa shule za sekondari Mtakukuja na Kondo pamoja na wasichana wa shule za msingi Mtakuja na Mtongani juu ya ugonjwa wa Endometriosis ambao huwatesa wanawake wengi kwa maumivi makali na pengine ugumba.
Mwanamitindo huyo alitoa somo hilo kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Mtakuja ambapo watu zaidi ya 1200 walielimishwa juu...
11 years ago
MichuziUbalozi wa Tanzania nchini Nigeria waadhimisha miaka 50 ya Muungano
Jumuiya ya wafanyabiashara, wawekezaji na wananchi wa Nigeria kwa ujumla, wameombwa kuja kuwekeza kwa ujumla na kutembelea vivutio vya utalii mbalimbali vinavyopatikana nchini Tanzania.
Hayo yamesemwa na Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mheshimiwa Daniel Ole Njoolay katika maadhimisho ya miaka hamsini 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) yalioandaliwa na ofisi ya ubalozi waTanzania nchini Nigeria na kufanyika katika Hoteli ya Sheraton...
10 years ago
MichuziMh. Membe atoa somo kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Tusiime
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10